Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,600
Haja maanisha kwamba mwanaume akikupa ndo heshima kamaanisha mambo mengine tunayowafanyia wanaume wangepaswa watufanyie waoKwaiyo kwa akili yako akikupa wewe hela ndo unazani atakuheshimu
Mbona umeandika kwa uchungu mkali hivi bibie[emoji1787]Wanaume wanatudharau sana.
Kwasababu wao ndio wanatulala.
Wao ndio wanatupa mimba na hata kama wakikataa wao hizo mimba wanao wapa mabinti au wadada unamtunzia unahangaika mtoto anakuja kukua na anaemda mahakamani nakumchukua.
Ni Tanzania pekee wanaume wanatunzwa na kutunziwa familia zao.
Ni Tanzania pekee wanaume wanawala wake zao tigo kama nini.
Ni Tanzania pekee wakaka wanakaa vijiweni muda wakazi wanaambizana kuhusu wakina halima na aisha.
Unakuta wanawake wanapigana kisa Musa naye musa wala hana mpango nao.
Unaweza kukuta anaoa mwingine.
Nani Tanzania pekee ambayo Musa anaweza kutunzwa na Aish kwa kila kitu anakuja kumpa mimba Amina na Anamhonga aisha nakumuoa Dorothea
Upo hapo.
Ndio maana tunadharauliwa .
Tunachezewa hadi basi mwisho tunapigwa tunatusiwa nakutimuliwa.
Basi hali ndio hiyo.
Usidharauliwe na unampa mwanaume hela anakulala halafu bado unamtoa out na mazawadi nahuku niwewe ndio unastahili baadae kimbembe kaolewa mwingine.
Tujiheshimu sana kwa maana tunadharaulika mno kushinda hata zamani.
Namkiwa hamna hela wanaenda kwa wengine hata kama mmeoana .
Punguzeni kuwapa hawa hela mtu atafute njia ya kukupa wewe.
Hata bustani ya edeni hawa laana yake ilikuwa nikuzaa kwa uchungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ukiwa binti mdogo kila ukipita mahali kuna wanaume lazima wakuite kwa kupiga mluzi kama jina lako hawalijui
Twende zetu mamsera
Bado naitwa tu na huu uzee wanguWakati ukiwa binti mdogo kila ukipita mahali kuna wanaume lazima wakuite kwa kupiga mluzi kama jina lako hawalijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hamjatawala dunia ni mnajishaua kwa maana wanawake wanawaheshimu nakuwa amini nakuwapenda ila nyie hamna upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Walai hamna best nimeona leo huu mwaka ni waseme hawa viumbe kidogo tuNini kimekutokea we Katoto?
Wampe ni zile tu na kama nimeolewa kwa.mfano tutakula.na wananguUsipompa hela mwanaume wako, wanawake wenzako watampatia halafu uatasimulia magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona naskia mke wako yule mpangaji mwenzako aliyehamia mwezi uliopita ndo anamzibua chemba? Hujanotice bado kwani?mimi huwa nakula tigo za malaya na madem wasiojielewa mke wangu sitamla tigo na pia situnzwi wala kupewa hela na mwanamke natafuta hela zangu mwenyewe kwaivo natoka kwenye hilo group la wanaume wanaolelewa na pia siwez kataa mtoto kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu menopause hatari!Umewalaumu sana wanaume lazima umri wako unaanza kupita ule wa kuitwa kwa miluzi, sasa vipodozi vinaanza kumea usoni
Sent using Jamii Forums mobile app