Kweli nimekuja kuona why wanaume wanatudharau

Kweli nimekuja kuona why wanaume wanatudharau

Wanaume wanatudharau sana.
Kwasababu wao ndio wanatulala.
Wao ndio wanatupa mimba na hata kama wakikataa wao hizo mimba wanao wapa mabinti au wadada unamtunzia unahangaika mtoto anakuja kukua na anaemda mahakamani nakumchukua.
Ni Tanzania pekee wanaume wanatunzwa na kutunziwa familia zao.
Ni Tanzania pekee wanaume wanawala wake zao tigo kama nini.
Ni Tanzania pekee wakaka wanakaa vijiweni muda wakazi wanaambizana kuhusu wakina halima na aisha.
Unakuta wanawake wanapigana kisa Musa naye musa wala hana mpango nao.
Unaweza kukuta anaoa mwingine.
Nani Tanzania pekee ambayo Musa anaweza kutunzwa na Aish kwa kila kitu anakuja kumpa mimba Amina na Anamhonga aisha nakumuoa Dorothea
Upo hapo.
Ndio maana tunadharauliwa .
Tunachezewa hadi basi mwisho tunapigwa tunatusiwa nakutimuliwa.
Basi hali ndio hiyo.
Usidharauliwe na unampa mwanaume hela anakulala halafu bado unamtoa out na mazawadi nahuku niwewe ndio unastahili baadae kimbembe kaolewa mwingine.
Tujiheshimu sana kwa maana tunadharaulika mno kushinda hata zamani.
Namkiwa hamna hela wanaenda kwa wengine hata kama mmeoana .
Punguzeni kuwapa hawa hela mtu atafute njia ya kukupa wewe.
Hata bustani ya edeni hawa laana yake ilikuwa nikuzaa kwa uchungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
lazima utakua umefikakisha kama 38 au 40 haya yote umeyajuaje?
 
Mwanamke kudharauliwa ni matokeo ya mazingira ya jinsi anavyojiweka, akiwa hovyo atadharauliwa sana. Kuna wanawake wengi wanajiheshimu na wanaheshimiwa sana na wanaume, na kamwe hawatadharauliwa. Kama unahisi unadharauliwa, jitazame tabia na mwenendo wako, huenda ndio unaochangia wewe kudharauliwa.
 
Wewe mimi ni mama kijacho na sina time na kudharauliwa saizi kwa maana soon naleta Dume la mbegu umeelewa mimi nasema kwa niaba kwani huyo joyce kiria kwa kitu anachoongelea kuhusu wanawake naanawasaidia nilazima apate shida ndio kila mada aongelee kuhusu shida acheni ujinga fungukeni hizo akili.
Kama kuna kero ya maji kijijini sio lazima ukiwaunga mkono ndio unamatatizo ya maji .
Ila kwa maana ni wanakijiji wenzako lazima uwaunge mkono kwa kero zao maana uko nao kila siku ish.
How old are you??
Mwanamke kudharauliwa ni matokeo ya mazingira ya jinsi anavyojiweka, akiwa hovyo atadharauliwa sana. Kuna wanawake wengi wanajiheshimu na wanaheshimiwa sana na wanaume, na kamwe hawatadharauliwa. Kama unahisi unadharauliwa, jitazame tabia na mwenendo wako, huenda ndio unaochangia wewe kudharauliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA LUGHA NGUMU: MWANAMKE NI CHOMBO NA STAREHE NA KUONGEZA UZAO.

KWA LUGHA RAHISI: MWANAMKE NI MSAIDIZI AU KIUMBE MWENYE HALI YA CHINI/KINYONGE ,HAYA MAJUKUMU NA CHEO CHAKE KASEMA MUNGU,ALIVYOMUUMBA NA ALIVYOASI PIA.

SASA SIKIO LITAZIDIJE KICHWA?
 
Wanaume tunawapenda sana wanawake.
Kwasababu wao ndio tunawalala.
Wao ndio tunawapa mimba japokua wengine huzitoa hizo mimba kisiri au kumbambikizia mwanaume mwingine.
Ni Tanzania pekee wanawake wanatunzwa na kutunziwa familia zao.Ukimtongoza tuu anaomba hela hadi ya kumpeleka mama hospitali.
Ni Tanzania pekee wanawake wanabambikia mimba ili waolewe.
Ni Tanzania pekee wakaka wanakaa vijiweni muda wakazi wanaambizana kuhusu wakina halima na aisha.Wanapenda sana wasichana.
Unakuta wanawake wanapigana kisa Musa kawapenda wote wawili.Wasichana wengi hawapendani.
Unaweza kukuta anaoa mwingine, hawezi kuoa wanawake wanaopigana ovyo kama Halima na Aisha.
Nani Tanzania pekee ambayo Musa anaweza kumpenda Aish kwa kila kitu halafu Aisha anakuja kupewa mimba na Juma na baadae anaolewa na Hamad.
Upo hapo.
Aisha amependwa na wanaume watatu kwa mpigo, kweli tunapenda wanawake.
Basi hali ndio hiyo.


katoto kazuri dada yangu, haya mambo hayawezi kuisha.Hatuwezi kuhitimisha kwa kusema wanaume tunawadharau sana au wanawake mmepoteza maadili sana.Jamii ya leo kuna mengi ambayo si ya kujivunia katika mahusiano.Watu wanatendana sana.Cha msingi ni kujiheshimu wewe peke yako kwanza.Self discpline.
 
Hivi wanawake wa siku hizi hamna wazazi?
Lawama zote ni nyie tu
Unaingia kwenye uhusiano, huna hata nia ya kuolewa wala kumtambulisha mtu kwenu.
Endeleni na hayo hayo Maisha ya kubadili badili

Sent from my SM using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom