Utafanya nini nikikupa kati ya Tsh 10milioni ---Tsh20milioni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafanya nini nikikupa kati ya Tsh 10milioni ---Tsh20milioni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by rukc, Jul 28, 2009.

 1. r

  rukc Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 28, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am brainstorming for business ideas from the ground with hope of launching business in tz early 2010. any ideas will be highly appreciated.

  najua kuna mambo mengi ambayo ninaweza kufanya tanzania lakini ninata nipate mawazo kutoka kwa wananchi na wataalamu wanao andika kwenye huu ukurasa. Baadhi ya mawazo niliyo nayo ni:


  1) Real state ----buy acreage or cheap houses in dsm or moshi. improve the lots/house and rent or resell for profit

  2) warehouse and distibution centers-----buy from regions with abundant food supplies, store and transport to the needy regions.

  3) infrastructure----build toll free brigdes/roads

  Mawazo yoyote ya kusaidia tanzania kusonga mbele yanakaribishwa na nitashuru sana.
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mimi nitachimba visima virefu vya maji maeneo ya Tegeta/Kawe na kuuza maji kwa bei nafuu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa nimechangia kutatua tatizo la maji kwa walalahoi wa Tegeta/Kawe. Pia mradi huo utarudisha gharama haraka na kuwezesha kuchimba visima vingine, ktk maeneo mbali mbali. Hivyo unakuwa ni mradi endelevu.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanza sidhani hii ni ''tetesi''....! unaweza ondoa hayo maneno!

  Just to help you tulisha jadili sana kitu kama hii kwa Mtaji wa 10m wa mkuu MBU ...gonga HAPA
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Oyes Next Level hakuna haja kujadili tena hii...uko ndio kulikuwa na mchanganua balaaa...watu wameenda deep sana...kwenye mambo hiyo.
   
 5. E

  Evy Member

  #5
  Jul 28, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  10-20 ml is a peanut to me ..i will just chill n' spend tht money. money is meant to be spent..ok?
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tusaidie book 5 tu hapa JF uiwezeshe kuwa hewani for a foreseable future mkuu au?
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Your way of thinking is of the "next level" kweli kweli. :)
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Have you read any books on the subject - Real state?
  Naamini una ufahamu kiasi fulani kwenye hilo. You could start a book club kind of thing here in JF to teach (or help others). In the process, you'll get a lot of volunteers who would assist you to get what you're lacking/requesting. You win, and they also benefit.

  What do you think?
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!ha! mkuu watu wengine bana.....!longo longo nyingi mno....eti 20mil ni peanut......hela ya kula....huo si utani mkuu?
   
 10. 1

  1975 Senior Member

  #10
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa sababu sijawahi kuzishika hizo,hatua ya kwanza nitatumia shilingi milioni moja kunywa bia na kustarehe club za usiku.Halafu zilizobaki nitafungua shamba la kulima maembe ili watu wapate afya bora kwa kura matunda.
   
 11. E

  Evy Member

  #11
  Jul 28, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  probably u did nt understand wht i meant..can u read between lines and see things at the larger picture.mr.great thinker.?
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  With this below statement....I admit to have not seen your ''larger picture'' in it....nor can't I even navigate through the lines....to ''read'' & try grasp what was meant there....other than a mere spending of money!

   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wengine wajuu wa Mirambo eti.

  Nitanunua MKE kama siyo AIDS. Give me HANA AKILI if you want. But the truth is WE ARE MANY OF US IN TANZANIA.
   
 14. E

  Evy Member

  #14
  Jul 28, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes with tht attitude u wont learn any.

  did u read the first post or u r intending to just increase ur # of posts? i was reffering 2 tht.
   
 15. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nitanunua kiwanja kilichopimwa na full documents then baada ya miaka miwili nitakuaj kukiuza kwa bei mara 2 ya bei niliyonunulia.. ndio bongo manake price zina shoot ile mbaya
   
 16. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #16
  Aug 1, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  I have a business, that has a minimum startup cost of 25 million.... so, 10 million is just peanuts!
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  In that business of yours, what is your profit margin per month hata uone 10 million ya kupewa is peanuts?

  10 million is not peanuts and this is why.
  Kwanza, kilicho muhimu zaidi kama hitaji ili kuanzisha biashara sio mtaji.

  Pili,
  katika biashara zote watu wanazoanzisha, zaidi ya asilimia 70 hufa kabla ya kufikia miaka mitano. Kwa maana hii, kama ndiyo unajiingiza kwenye biashara, una millioni 10 tu halafu ukazimwaga zote kwa mkupuo kwenye kapu moja you'll either fail or fluke.

  Tatu,
  you better start a small deal kwanza kabla ya kurukia big deal business. Weka fedha kiasi kwenye biashara unayotaka kufanya, mfano 5 million au chini ya hapo, na wakati huo uzingatie namba moja niliyotaja hapo juu.

  Now, demonstrate to us why 10 million is peanuts!
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...dah,

  yaani majibu mengine yanadhihirisha kweli "ndivyo tulivyo!"...
  No wonder nchi inaangamia na maskendeli ya Richmond, et al

  Kwa akili hizi za 'ponda mali kufa kwaja', tunawalaumu bure hao wanaouza rasilimali zetu ili nao wajifwaudu bia za mamilioni (show offs), plus nyumba ndogo lukuki, na wanaosema ni 'vijisenti' tu. 10m unasema ni peanut? haya bana...

  viongozi wetu ni taswira yetu. Ndivyo tulivyo!
   
 19. r

  rukc Member

  #19
  Aug 9, 2009
  Joined: Jul 28, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Evy,

  I read you loud and clear. Ningefurahi kutoa msaada kwa ajili ya JF na nafikiri ni forum nzuri kwa watanzania na watu wengine kuchangia mawazo yao. However, my business goals at the moment are not to invest in the media. Natumaini jibu hili halitakukatisha moyo kwani I still believe this website is a fantastic idea. Keep up the good work if you are involved in running this site.
   
 20. papag

  papag JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2009
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nitanunua mashine ya kukoboa mpunga na kujenga godown la kuhifadhia nafaka.
   
Loading...