Kweli, ndoa ni tamu!

Subiri muda si mrefu hutachelewa kuja kuomba ushauri
 
Mkuu Equation x,
Usiongee sana maana wivu wataona wao, unajua kuna kukosea career choices, kukosea design ya nyumba, kukosea kununua kiwanja ha uswahilini, ila ndugu yangu ukikosea ukaangukia kwa kichwa kibovu, ni majuto tu.
Inabidi huku jukwaani kama itawezekana, watu tupeane mbinu mbadala kwa wale walio kosea kuoa.
 

Na sisi tulikua kama wewe 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…