Nimegundua kuwa wewe ni mojawapo ya watu wanaowekeza muda wao mwingi kujifunza yale ambayo hatujayajua bado. Hongera sana!Wanasema katika vitu vilivyo badilisha dunia ni 1. Umeme 2. internet.
Ninaamini bila wazungu tungeweza kugundua hivi vitu lakini ingetuchukua muda zaidi. Waarabu waligundua namba, Wagirikia waligundua demokrasia, tulikua wakwanza kugundua matumizi ya chuma.
Kuna aliweka post hapa jana kuwa ubongo wa binadamu unauwezo wa kuhifadhi vipindi vya TV kwa miaka 30, hii ni kwa vipindi vya masaa 24. Sasa inategemea wewe unataka kuhifadhi nini kwenye ubongo wako.Nimegundua kuwa wewe ni mojawapo ya watu wanaowekeza muda wao mwingi kujifunza yale ambayo hatujayajua bado. Hongera sana!
Kweli Sky. Unajua wenzetu wanajifunza na kuboresha mambo au hata utaalamu wowote ule uliowahi kutumika mwanzo, mfano.. Benk yenye ulinzi mkali wa watu na bunduki zao na teknolojia ya hali ya juu ikavamiwa na kuibiwa, tena bila wahalifu kuonekana wala kujeluhi au kuua mtu, hapo watafanya tafiti na kuingia darasani kujifua na kuzijua mbinu walizo tumia wahalifu, au hata mtu mwovu aliejaribu kufanya tukio kubwa la hatari, pia ni lazima achunguzwe na watu wajifunze mbinu zake na wazijue, kwaajiri yakuwa nao update zaidi. Wacha Sie tutegemee hata mafunzo toka kwao watasha.Ni kweli hii ni Afrika, wala usimlaumu msure kwake yeye alitimiza wajibu wake. Ingekuwa ulaya msure angekupeleka kwenye kituo cha TV na kuna kampuni au mtu angeweza kujitolea kwa elimu yako ili kilichoko kwenye damu yako kiendelezwe.
Bado unafanya hizo mambo?? Uko wapi now??Zamani kidogo, nilijaribu kutengeneza satellite receiver yangu binafsi pale home. kwakuwa nilivutiwa sana na maswala ya ubunifu electronics, kilichonikuta bwana, nilipata mikwaju ya kufa mtu, matusi na mavitu yangu yote yalichomwa moto, but now nimekuwa juu hadi wazee wakikumbuka wanaona aibu. This Is Africa.
weusi kama sikosei tuna laana,tunapenda kula,mapenzi na kuimba nyimboKuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?
Kibaya zaidi walivyokuja kutengeneza mfumo wa malipo kwa njia ya kielektroniki,kwamba hauna pesa,haupigi simu au kuwasiliana.
Sisi weusi tulikosea wapi?
Mwenye chochote achangie hili tuzidi kueleweshana maana hapa pia tunawasiliana kwa nguvu ya umeme na pesa.
Nachanganyikiwa kiukweli uwezo wa hawa jamaa.
Hizo ni propaganda za kujifariji. Wenzetu wanakuja kwenye ukoloni kusaka malighafi za nguo nk. Sisi jahazi la kufika Pemba lilitumia miezi kadhaaPasingekuepo kuingiliwa kwa waafrika na hawa wakoloni tungefika mbali sana.
Katika kipindi cha kuingiliwa Afrika na ulaya maandishi yanasema Afrika na Ulaya zilikua katika kiwango sawa japo sio sawia. "Same level but not similar "
saizi mbona hatuingiliwi na hatufanyi chochotePasingekuepo kuingiliwa kwa waafrika na hawa wakoloni tungefika mbali sana.
Katika kipindi cha kuingiliwa Afrika na ulaya maandishi yanasema Afrika na Ulaya zilikua katika kiwango sawa japo sio sawia. "Same level but not similar "
Kuna wakati nilifanya kazi kwenye mradi mmoja wa kimataifa Dar, bosi wetu alikua professor kutoka Switzeland, alijitahidi sana kupata funds za project ile, sasa alibana matumizi kila alipoweza. Alimleta mtoto wa rafiki yake kutoka Switzeland aje afunge programme itakayotumika kwenye project. Yule kijana alisoma degree ya science in human sicence na alikuwa anangojea posts yake kuanza medical school. Kwa utaalamu wake ule wa IT nilimuuliza ulijuaje hivi, aliniambia akiwa na miaka mitano baba yake alimnunulia computer baada ya kugundua utundu wake kwenye kifaa hicho, alijifunza jinsi ya kuitumia na alipokua na miaka sita aliweza kusoma manual, na alianza kuifungua, akiharibu baba yake anamsaidia kuitengeneza, wakishindwa wote baba anamtafuta mtu anaejua zaidi.Kweli Sky. Unajua wenzetu wanajifunza na kuboresha mambo au hata utaalamu wowote ule uliowahi kutumika mwanzo, mfano.. Benk yenye ulinzi mkali wa watu na bunduki zao na teknolojia ya hali ya juu ikavamiwa na kuibiwa, tena bila wahalifu kuonekana wala kujeluhi au kuua mtu, hapo watafanya tafiti na kuingia darasani kujifua na kuzijua mbinu walizo tumia wahalifu, au hata mtu mwovu aliejaribu kufanya tukio kubwa la hatari, pia ni lazima achunguzwe na watu wajifunze mbinu zake na wazijue, kwaajiri yakuwa nao update zaidi. Wacha Sie tutegemee hata mafunzo toka kwao watasha.
nice & inspiring...Kuna wakati nilifanya kazi kwenye mradi mmoja wa kimataifa Dar, bosi wetu alikua professor kutoka Switzeland, alijitahidi sana kupata funds za project ile, sasa alibana matumizi kila alipoweza. Alimleta mtoto wa rafiki yake kutoka Switzeland aje afunge programme itakayotumika kwenye project. Yule kijana alisoma degree ya science in human sicence na alikuwa anangojea posts yake kuanza medical school. Kwa utaalamu wake ule wa IT nilimuuliza ulijuaje hivi, aliniambia akiwa na miaka mitano baba yake alimnunulia computer baada ya kugundua utundu wake kwenye kifaa hicho, alijifunza jinsi ya kuitumia na alipokua na miaka sita aliweza kusoma manual, na alianza kuifungua, akiharibu baba yake anamsaidia kuitengeneza, wakishindwa wote baba anamtafuta mtu anaejua zaidi.
Unaona jinsi baba yake alivyoinvest muda wake mwenyewe kwa mtoto wake.
uncle Magu badilisha jina la ziwa victoria liitwe Nyanza kama miaka ya mwanzo kabla ya kuitwa ziwa victoriapia waligundua mlima Kilimanjaro na ziwa Victoria.... sisi tulikuwa hatuoni kabisaaa
Kuna aliweka post hapa jana kuwa ubongo wa binadamu unauwezo wa kuhifadhi vipindi vya TV kwa miaka 30, hii ni kwa vipindi vya masaa 24. Sasa inategemea wewe unataka kuhifadhi nini kwenye ubongo wako.
Na unajua sikuhizi internet inarahisha sana, unapata magazines, jounals, wikipedia. Ni muda wako tu kama unaamua kwenda kwa mama Fatuma kujua mtaa wa pili kama baba amepata kazi au unanamua kujaza ubongo wako mwenyewe kimya ndani.Ni vizuri ukaendelea pia ku-share huo utajiri na wengine.Tatizo mojawapo la Waafrika ni kwamba hatugawani utajiri wetu.Si utajiri wa mali bali utajiri wa rasilimali mawazo na vipaji.Mungu katika uumbaji wa mwanadamu ali-share naye uweza wake na sisi hatuwezi kutiisha dunia bila kusafiri katika msingi huo.Waafrika sharti tushirikishane ujuzi,elimu,ubunifu,malezi ya familia na mambo yote chanya.
safi sana mkuu. nashauri siku moja ulete uzi ukielezea ulivotengeneza receiver yako na ilivokua ikifanya kaziZamani kidogo, nilijaribu kutengeneza satellite receiver yangu binafsi pale home. kwakuwa nilivutiwa sana na maswala ya ubunifu electronics, kilichonikuta bwana, nilipata mikwaju ya kufa mtu, matusi na mavitu yangu yote yalichomwa moto, but now nimekuwa juu hadi wazee wakikumbuka wanaona aibu. This Is Africa.