Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,355
- 4,953
- Thread starter
- #41
AiseeBiblia ni hadithi tu mkuu.
AiseeBiblia ni hadithi tu mkuu.
Abaki hajui pa kwenda kama ndungu yenu DavidmmaristaAtakuja infroprenuer muda si mrefu amchanganye akili 😁
Mimi mpka saiv nina idea wap niende 👌Abaki hajui pa kwenda kama ndungu yenu Davidmmarista
Ila upo mlangoni akija mtu akakugonga kidogo tu unajikuta kwa kina secretarybirdMimi mpka saiv nina idea wap niende 👌
Ni nani aliyeumba uovu kwa mara ya kwanza kabisa?Rehema na huruma ya Mwenyezi Mungu haimaanishi kwamba dunia itakuwa mahali pasipo na majaribu. Maisha ya duniani yameumbwa kuwa na furaha na huzuni, afya na maradhi, utajiri na umasikini. Hali hizi huwa sehemu ya mtihani wa maisha ya mwanadamu, si ishara kwamba Mungu amekosa huruma. Rehema yake inaonekana kwa kuwapa wanadamu uhai, akili ya kutambua mema na mabaya, na nafasi ya kubadilika kila siku.
Kuhusu watu kuteseka kwa sababu ya matapeli wanaotumia jina la Mungu, hilo mara nyingi si kimya cha Mungu bali ni matokeo ya matendo ya binadamu wenyewe. Mwanadamu amepewa uhuru wa kuchagua; anaweza kufanya mema au mabaya. Watu kama wanaotumia dini kujinufaisha wanatumia vibaya uhuru huo, na dhuluma hiyo hubeba matokeo yake. Hivyo, udanganyifu wa mtu kama Josephat Gwajima Mwamposa au mtu mwingine yeyote anayehusishwa na kashfa za kutumia dini hauwezi kuwa kipimo cha huruma ya Mungu, bali ni kipimo cha tabia ya mwanadamu.
Kwa hiyo mateso mengi tunayoyaona duniani mara nyingi yanatokana na udhaifu, tamaa, na ujinga wa wanadamu, si kwa sababu Mungu hana huruma. Ndiyo maana historia inaonyesha pia kuwa pamoja na mateso, bado kuna watu wanaopona, wanasaidiana, na wanapata farajahayo nayo ni sehemu ya rehema inayodhihirika katika maisha.
Fayaaa 🔥.Ila upo mlangoni akija mtu akakugonga kidogo tu unajikuta kwa kina secretarybird
Hata mimi naona hivyoIla upo mlangoni akija mtu akakugonga kidogo tu unajikuta kwa kina secretarybird
Hiyo dp yako mkuu😂😂Fayaaa 🔥.
Vipi umejipanga kujishikilia vyema ili hata ukigongwa usianguke au unajilegeza tu?Hata mimi naona hivyo
Acha nilegee kiduchu tuone nitaangukia kwa wap😎Vipi umejipanga kujishikilia vyema ili hata ukigongwa usianguke au unajilegeza tu?
Hii ni nzuri sana 😂Hiyo dp yako mkuu😂😂
Na usije ukatoa maana ni brandHii ni nzuri sana 😂
Kwa nini usiingie kabisa huko ambapo una idea ya kwendaAcha nilegee kiduchu tuone nitaangukia kwa wap😎
Baado kidogo tu shwaaaaKwa nini usiingie kabisa huko ambapo una idea ya kwenda
Kwanini naenda kuangukaIla mimi naona unaenda kuanguka
Hii imeshanisaidia kujipatia mishangazi kiulani.Na usije ukatoa maana ani brand
ChaiHii imeshanisaidia kujipatia mishangazi kiulani.
Amini usiamini.Chai
HongeraAmini usiamini.
Kwanini mtu asihoji ?Kuuliza uliza kuhusu makadirio au mipango ya Mungu kwa kila kitu kinachotokea katika ulimwengu ndio mwanzo wa kuanguka