😂😂Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Ungefuga Rottweiler..Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Nimecheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣TV ilikuwa HUKUTANI eeh?
wazuri kwa kubweka ila naye kabebwa
Alooo 🙌🤣🤣🤣Mzee baba naona umevurugwa hadi kupangilia maneno inakuwa tabu...
Mbwa kama wa Wema Sepenga ni mbwa wa maonesho, kwanza ulipaswa umbebe uende naye church maana yule sio wa kuachwa ndani mwenyewe...
Anaweza kuwa na bei kubwa zaidi ya TV.wazuri kwa kubweka ila naye kabebwa
Ahaha 😂 😂 😂 😂Nimecheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona unacheka na mwenzio ana majonzi kaibiwa TV na family member?🤣🤣🤣 pole sana mkuu.
Jinsi alivyoelezea inachekesha.Sasa mbona unacheka na mwenzio ana majonzi kaibiwa TV na family member?
Inawezekana kahusika.Ili likijana mpaka sasa lijarudi hapa najiuliza kwa nini aliacha bila kufunga mlango japo tuna hukuta
Jamaa alikuwa anategemea 'manunu' afukuze wezi.Jinsi alivyoelezea inachekesha.