Mimi namwona mpuuzi huyo mwanaume. Kwani kila unachoona kwenye picha lazima ukifanyie kazi? Akiona video zinazoonyesha mwanamke anasex na mbwa je atafuga mbwa ili asex na mkewe? Isitoshe ngono sio raha ya mmoja ni ya wote wawili. Mwanaume hapaswi kuwa mbinafsi kwenye suala la ngono. Ahakikishe njia yoyote anayotumia mkewe ameridhia kabisa bila woga. Aheshimu maoni yake kama anakataa staili fulani. Kifupi huyo mume hana sifa hizo. Na kuna uwezekano akadai ni picha kwenye simu kumbe ni vitendo anavyofanya nje huko.