kweli mapenzi uchafu, na udhia............

Tusiende mbali....vipi wewe ummu kurthum. ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje...
 
Naye ajaribu kupiga vuvuzela, halafu naye alundike mdomoni, then ampelekee na kumlazimisha ameze....! By doing so, nadhani itamsaidia kufikisha uhalisia wa linalomtesa...!
Yes! This is it.... gud idea....
 
Tatizo lipo kwa huyo muwekezaji anashindwa kufuata taratibu za uchimbaji sahihi wa chumvi, mwenye mgodi wa uvinza hana kosa lolote.

Tatizo huyo mwekezaji ni mgeni wa mambo kwani ameona wale vichaa wa Porno na kushindwa kuelewa vizuri namna sahihi ya uchimbaji bila kumwaga maji taka yenye Mercury kwenye mazingira ya 6 X 6.
 
Dawa yake huyo mama asiwe anaoga maeneo ya nyanda za juu kusini ili akitaka kuchimba chumvi ashindwe mwenyewe.
 
Ajaribu hivyo, akiulizwa na mumewe amjibu kuwa anajifunza baada ya kuona kwenye simu ya rafiki yake wa jirani....!

teh teh teh ila hapo itakuwa kama unashindanae yan ye kamwaga ugali we unamwaga mboga afu wote mnalala njaa chakula ya usiku neh!
 


Nakushauri tafuta mume wa kikurya yeye akifika ni rara nikurarie hawana hayo mambo ya kuingia chumvini na kula mate....!!!
 
Dawa yake huyo mama asiwe anaoga maeneo ya nyanda za juu kusini ili akitaka kuchimba chumvi ashindwe mwenyewe.

kama vile atakuwa anaruka majivu na kukanyanga moto swaiba! maana yangu ni kwamba akiwa mchafu sana.........................
jamaa ataenda kwa waliowasafi
mkewe atapata fungus,U.T.I
haki yake ya msingi itapotea( sex)

au vp mkubwa? nionavyo mimi itakuwa sio poa
 
mbona "sisi" wanaume wengine tunaombwa na kulia mtu analia anataka, sometime tunagoma wapi mtu analia anataka, nahisi ni ufundi tu umekosekana hapo.
 
Nakushauri tafuta mume wa kikurya yeye akifika ni rara nikurarie hawana hayo mambo ya kuingia chumvini na kula mate....!!!

ha ha ha anadai eti hataki ndoa za toilet paper
mumewe anampenda ila hapendi hayo mate
 
mbona "sisi" wanaume wengine tunaombwa na kulia mtu analia anataka, sometime tunagoma wapi mtu analia anataka, nahisi ni ufundi tu umekosekana hapo.

ni kweli kabisa nahisi anajifanya anajua kumbe hajui alitendalo na mjeuri haambiliki
 

nakubali mawazo 100%
inaelekea wewe.............................................samahani lakin
 
Tusiende mbali.. vipi wewe ummu kulthum...... ungefanyiwa wewe ungejisikiaje.

so so so bad!!!!!kwa imani YANGU cHumvinI ni gharamu kama ilivyo kwa KAAAAABANG!!!
Ki afya sio nzuri na inaathari zake lukuki kama sikosee kuna mtu alishaweka humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…