Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Yule dhaifu kweli. Mbaba karibia miaka 50 unalilia mapenzi karne hii?
Wewe una umri gani kwanza tuanzie hapo? Maana isije ikawa upo 48 halafu una mnyanyasa mhenga mwenzako.
 
Mbona sehemu zote tamu umezifuta futa na mawino yenye kuumiza macho why?

Mi mkuu huwezi nipiga chini kiwepesi namna hiyo bhana, tutafikishana mbali.
 
Wewe una umri gani kwanza tuanzie hapo? Maana isije ikawa upo 48 halafu una mnyanyasa mhenga mwenzako.
48 bado Sanaa ila hata ingekuwa 50 bado Nina haki ya kupenda na kuamua kutokupenda . Kumkataa mtu sio kumnyanyasa ni kumpunguzia maumivu mbeleni. Ndo maama nilipoona sihitajiki kwa mwamba nikawa nimeelewa tu kiroho safi bila kinyongo.
 
Mbona sehemu zote tamu umezifuta futa na mawino yenye kuumiza macho why?

Mi mkuu huwezi nipiga chini kiwepesi namna hiyo bhana, tutafikishana mbali.
Nisingeziacha mjomba....
Hata huyu alitaka kunifikisha mbali maama kuna chat zingine sijaziweka. All in all najua alijiskia vbaya maana mshazoea kutupiga Sisi matukio.... Ikitokea tumefanya Sisi mnaona mmeonewa
 
Bora limekupata.
What goes around, comes around like a Hoola Hoop!!!
 
Nisingeziacha mjomba....
Hata huyu alitaka kunifikisha mbali maama kuna chat zingine sijaziweka. All in all najua alijiskia vbaya maana mshazoea kutupiga Sisi matukio.... Ikitokea tumefanya Sisi mnaona mmeonewa
Kweli maonevu makubwa kukatishwa!

Mi nikipigwa chini kwa kushitukizwa namba hiyo huwa najisikia maumivu kama yale ya kuachishwa kunyonya ziwa la mama nikingali ndogo.

Nasikia nilizua timbwili hadi akapaka kinyesi cha kuku nikaona kinyaa nd'onikatulizana, palikuwa hapatoshi!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…