Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,004
Ni heri angeomba nguvu ya CDM katika vita ya Mafisadi kwa sababu CDM wanawajua na hawawaogopi kama ilivyo kwa Mwenyekiti wake. Sasa yeye badala ya kutumia japo kabusara kidogo kuomba Msaada toka CDM akajifanya kuwa-attack simply because isionekane kwamba kuondoa Ufisadi ilikuwa ni Sera ya CDM na wao wameidandia tu kwa hiyo kama wangefanikiwa kuwaondoa sifa zote zingeenda CDM.