Kweli Lowassa na RA wana nguvu

Every president (leader of a party, etc) needs a son of a bitch around. And Nape seems to be the one for the time being.
Nitazidi kum-blame Nape kwa mwendo alioanza nao, he had no positive tactics za kudili na hao watu. They are capable, intelligent, wealthy, well organised, powerfull, very strong-political wise, decissive & visionery.
Although Nape is young and energetic...muda wake bado wa kuwayumbisha au kuwanyooshea vidole hao wababe, wanamihimili almost ktk kila tasisi ya dola ya nchini mwetu.
 
had it not being shameful marriage btn cdm and the so called rachel we could have already get rid of these rachel shame on you chadema
 
CCM BANA WALE WANACHAMA SI WENU? KINAWASHINDA NN KUWAFUKUZA? au mlitaka chadema waje wawafukuzie? Achaneni ni mbinu ya miaka 47, hatumbumbaziki kirahis hvo..
Mkuu CCM ni kichekesho sana. Katika swala hili ni sawa na Mtu anamfuma mkewe anavunja anazini tena ndani ya nyumba yao. Anayomamlaka ya kumtaliki au kumsamehe. Lakini ukiona anapiga blabla kuwa anampa mkewe siku kadhaa ajipime kisha atoe maamuzi ya kujipa talaka uje hamna kitu hapo. Kisha baadae anaanza kutuhumu majirani kuwa wanashirikiana na mke ili kukwamisha juhudi zake za kuachana na Mkewe kipenzi aliyezini,ndivyo wafanyavyo CCM. Hao ni wanachama wao wanashindwa nini kuwafukuza? CDM inahusikaje katika kushindwa kwao? Waliambiwa wajipime waone kama kweli wanafaa kubaki ndani ya CCM na wameona ndio wanafaa maana tabia zao bado zinafanana na viongozi wengine wooote ndani ya CCM, sasa kwanini wao tuu wajipime ilihali chama chote ni ufisadi mtupu?
Nape na wenzake wanaimba Taarabu tuu na kugeresha watu siku ziende.
 
Back
Top Bottom