hata wale viongozi ambao kwa kiasi kikubwa wtz waliona kuwa wana mwelekeo nao hawana maana kitendo cha cdm kufunga ndoa na rachel kinatia aibuviongozi wangekua na uzalendo na nchi tusingekua hapa tulipo,hayo mnayoyafanya mnadhani 2015 mtawaambia nini wananchi waliowapa nafasi?