- Thread starter
- #21
Ukweli ni kwamba Nape hakushambuliwa na Wapinzani like Chadema . Chadema wao walikataa uongo wa kusema wanajivua gamba bila ya kumtaja Nape . Nape alio ona watu wana hoji kujivua gamba akaanza kumshambulia Slaa na mshahara wake . Watu wakamuona hana akili wakamkanya lakini akazidi kuonyesha yeye ni CCM damu ndipo watu wakaamua kusema uozo wake lakini before hakuna aliye mgusa Nape kama yeye bali walipinga kujivua gamba kwamba ni unafiki . Nadhani hapa ndipo Nape alianza kuharibu kumshambulia Slaa na sasa kesha pata majibu . Anangojewa apinge kama hakuwa mwanzilishi wa CCJ
Slaa ndo alianza kuvuruga mkakati wa Nape , yani kesho yake tu kutaja listi ndefuuuuuuuu, Lowasa nomaa