Kweli Lowassa na RA wana nguvu

Naona pro-Nape na pro-Magamba mmejitahidi kuwakilisha mawazo yenu!! Inawezekana kweli hao mafisadi wamehamia CHADEMA na hata hela ya Dowans imelipwa CHADEMA au mnasemaje MAGAMBA? Ndutu, Tiote, Banyikwa, Mudavadi, Makupa etc..
 
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.

Mkuu Mkamap, naomba nichukue hii nafasi hii kukuelewesha kwa nini Nape anashambuliwa na wapinzani wa kweli yaani Chadema;

  • Anadai anapambana na mafisadi ndani ya CCM huku akimtetea bosi wa mafisadi Jakaya Kikwete. Ni Kikwete tu aliyepewa nguvu na wananchi kuunda na kuongoza serikali na na rungu la vyombo vyote vya dola. Lowassa na RA, nguvu unayodai wanayo, wameipata lini na wapi na ni nani aliwapa hiyo nguvu. Mkamap, lets call a spade a spade, Lowassa, Rostamu na Chenge si lolote si chochote mbele ya umma wa Watanzania bila nguvu ya dola nyuma yao.
  • Mfumo unaowawezesha hao mafisadi kutamba ndio huo unaopigwa vita na Chadema huku ukitetewa na CCM kwa kuwatumia waganga njaa kama Nape. Je unakumbuka Chadema majuzi tu walivyomchanachana Rostamu nyumbani kwake Igunga na Chenge Bariadi ? Sasa subiri siku watakapoingia kwa Lowassa Monduli. Je huko ndio kuwatetea ?
  • Pamoja na Nape kutumiwa kuudanganya umma wa Watanzania kuwa CCM inajivua gamba, matendo yake kwa wananchi wenye matatizo ni yale yale ya kuwarubuni kwa kanga n.k. Rushwa ni mtaji mkubwa wa CCM na bila rushwa haiwezi ikadumu hata kwa wiki ila wananchi wanaanza kufunguka macho na udanganyifu wao. Pongezi Chadema kwa kutoa somo.
  • attachment.php

  • Tatizo ni kwamba kuna watu kama Mkamap walioathirika kiasi cha kukubali kutumia taaluma na elimu yao kutetea huu uovu unaoliangamiza tafia. Utaelezaje mtu kama Mwakyembe kufanya kazi ofisi moja na mtu kama Bashir Mrindoko ? Soma sehemu ya ripoti ya Mwakyembe kuhusu Richmond.
Kamati Teule inapendekeza kwamba Waziri wa Nishati na Madini wa wakati huo Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha (Mb) na Katibu Mkuu Ndugu Arthur Mwakapugi wachukuliwe hatua kali za kinidhamu kwa kuliingiza Taifa kwa makusudi kwenye mkataba na kampuni ya mfukoni ambao umesababisha hasara kubwa kwa nchi. Aidha Kamishna wa Nishati Ndugu Bashir Mrindoko naye achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kushindwa kumshauri Katibu Mkuu mpya wa Wizara kuhusu udhaifu wa Richmond Development Company LLC ambao ulijulikana dhahiri na Wizara toka mwaka 2004 kwenye mkataba wa Bomba la Mafuta. Ndugu Mrindoko ndiye aliyeiandikia barua kampuni hiyo kusitisha mkataba wake na Serikali mwezi mmoja tu kabla ya mchakato wa zabuni ya umeme wa dharura haujaanza.

Mkamap, kitu gani kinawafanya wasomi wengi wa Tanzania kukubali kutumiwa na hawa wezi na mafisadi kuwahadaa wananchi masikini wa Tanzania zaidi ya kusukumwa na ulafi na unafiki. Kuna wakati ukikaa kimya utaonekana una hekima kidogo kuliko kujianika kwa kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu.

Chadema kama walivyosema wanatwanga kote kote awe fisadi chipukizi au fisadi liyekubuhu, wote ni halali kuwaanika kwa uovu wao bila kuwaonea haya. Lakini mwisho wa yote taifa lipo hapa lilipo kwa sababu ya mtu moja aliyeingia madarakani kwa udanganyifu na wizi hivyo kukosa ujasiri wala uhalali wa kuwanyooshea vidole washiriki wake kidole. Kudai kuwatosa hao washiriki huku bosi yuko kajaa tele pale pale ni usanii ule ule ambao lazima Chadema iiendelee kuupiga vita bila kuchoka.
 
Hao jamaa wana nguvu na pesa kushinda sirikali yetu bana, na hakuna kitu kinachoweza kuishinda pesa alaf wana mbinu nzuri za kuwadanganya watu yani wanang'ata na kupuliza vuta picha zamani Lowasa akiwa PM,'alivyoshuka pale bandarini akawakoromea watendaji pale kwamba eti anawapa muda mchache msongo wa makontena pale uishe kumbe anajua kuna mkono wa karamagi pale. Hivyo akina Nape na wenzie wajue wanaanzisha vita na watu ambao wana pesa za kuweza kuilisha nchi kwa muda hata wa miaka mitano au ishirini
 
Mkuu Mkamap, naomba nichukue hii nafasi hii kukuelewesha kwa nini Nape anashambuliwa na wapinzani wa kweli yaani Chadema;

  • Anadai anapambana na mafisadi ndani ya CCM huku akimtetea bosi wa mafisadi Jakaya Kikwete. Ni Kikwete tu aliyepewa nguvu na wananchi kuunda na kuongoza serikali na na rungu la vyombo vyote vya dola. Lowassa na RA, nguvu unayodai wanayo, wameipata lini na wapi na ni nani aliwapa hiyo nguvu. Mkamap, lets call a spade a spade, Lowassa, Rostamu na Chenge si lolote si chochote mbele ya umma wa Watanzania bila nguvu ya dola nyuma yao.
  • Mfumo unaowawezesha hao mafisadi kutamba ndio huo unaopigwa vita na Chadema huku ukitetewa na CCM kwa kuwatumia waganga njaa kama Nape. Je unakumbuka Chadema majuzi tu walivyomchanachana Rostamu nyumbani kwake Igunga na Chenge Bariadi ? Sasa subiri siku watakapoingia kwa Lowassa Monduli. Je huko ndio kuwatetea ?
  • Pamoja na Nape kutumiwa kuudanganya umma wa Watanzania kuwa CCM inajivua gamba, matendo yake kwa wananchi wenye matatizo ni yale yale ya kuwarubuni kwa kanga n.k. Rushwa ni mtaji mkubwa wa CCM na bila rushwa haiwezi ikadumu hata kwa wiki ila wananchi wanaanza kufunguka macho na udanganyifu wao. Pongezi Chadema kwa kutoa somo.
    attachment.php

  • Tatizo ni kwamba kuna watu kama Mkamap walioathirika kiasi cha kukubali kutumia taaluma na elimu yao kutetea huu uovu unaoliangamiza tafia. Utaelezaje mtu kama Mwakyembe kufanya kazi ofisi moja na mtu kama Bashir Mrindoko ? Soma sehemu ya ripoti ya Mwakyembe kuhusu Richmond.

Mkamap, kitu gani kinawafanya wasomi wengi wa Tanzania kukubali kutumiwa na hawa wezi na mafisadi kuwahadaa wananchi masikini wa Tanzania zaidi ya kusukumwa na ulafi na unafiki. Kuna wakati ukikaa kimya utaonekana una hekima kidogo kuliko kujianika kwa kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu.

Chadema kama walivyosema wanatwanga kote kote awe fisadi chipukizi au fisadi liyekubuhu, wote ni halali kuwaanika kwa uovu wao bila kuwaonea haya. Lakini mwisho wa yote taifa lipo hapa lilipo kwa sababu ya mtu moja aliyeingia madarakani kwa udanganyifu na wizi hivyo kukosa ujasiri wala uhalali wa kuwanyooshea washiriki wake kidole. Kudai kuwatosa hao washiriki huku bosi yuko kajaa tele pale pale ni usanii ule ule ambao lazima Chadema iiendelee kuupiga vita bila kuchoka.

Je ni kweli Nape baada ya kugusa mafisadi anashambuliwa kila kona?
 
hawana nguvu yoyote. tangu lini uovu ukawa na nguvu kuliko wema? haiwezekani asilani jamaa wakawa na nguvu kuliko dola. tatizo ni watendaji wa dola hususan kiongozi wao kuwa indecisive. vinginevyo hawa mbona kesi yao ni rahisi tu. ushahidi uko wazi na magereza yana nafasi zao za kudumu, tena na hard labour bila parole wala bail
 
Lakini unaona jinsi Nape alivyotiwa kati baada ya kuwataja.Mhhh
 
Hao jamaa wana nguvu na pesa kushinda sirikali yetu bana, na hakuna kitu kinachoweza kuishinda pesa alaf wana mbinu nzuri za kuwadanganya watu yani wanang'ata na kupuliza vuta picha zamani Lowasa akiwa PM,'alivyoshuka pale bandarini akawakoromea watendaji pale kwamba eti anawapa muda mchache msongo wa makontena pale uishe kumbe anajua kuna mkono wa karamagi pale. Hivyo akina Nape na wenzie wajue wanaanzisha vita na watu ambao wana pesa za kuweza kuilisha nchi kwa muda hata wa miaka mitano au ishirini

Nakubaliana na wewe kwamba wanashikilia fedha walizowaibia watanzania. Nakubali pia kwamba Lowassa na wenzake hawastahili kuwa viongozi wa nchi hii kutokana na kile ulichosema ni usanii. Lakini kubali pia kwamba pamoja na kuwafunga midomo wale tuliodhani na waliojifanya ni wakombozi wa nchi hii, siku zao zinahesabika!
 
hawana nguvu yoyote. tangu lini uovu ukawa na nguvu kuliko wema? haiwezekani asilani jamaa wakawa na nguvu kuliko dola. tatizo ni watendaji wa dola hususan kiongozi wao kuwa indecisive. vinginevyo hawa mbona kesi yao ni rahisi tu. ushahidi uko wazi na magereza yana nafasi zao za kudumu, tena na hard labour bila parole wala bail

Yatatimia tu. Yuko wapi Mubarak au Gbagbo?
 
Baada ya Nape kuwagusa mafisadi, sasa Nape anashambuliwa kama mpira wa kona, kutoka kila pande. Kwenye magazeti hadi mitandaoni. Ni kweli mafisadi hawagusiki, gusa uone.

MkamaP, usiiongee kama mtanzania mfu aliekata tamaa, nguvu ya pesa haishindi nguvu ya wananchi, kama wanaccm wamekubali kushindwa na watu wawili kwa sababu ya nguvu ya pesa, wananchi wenye uchungu watashinda kwa kushindo, watanzania wanachohitaji ni kamanda ambaye yupo tayari kujitoa mhanga, kama waliweza Kenya hata sisi tutaweza, vita hii ni yetu wote tunachohitaji ni dira ili tuweze kutokomeza ufisadi.
Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
We need someone with courage! Kufanya yale yanayoshinda waliopo.

Nikiona Gongo La Mboto DSM nakumbuka @ New York, USA nadhani umenisoma.
 
viongozi wangekua na uzalendo na nchi tusingekua hapa tulipo,hayo mnayoyafanya mnadhani 2015 mtawaambia nini wananchi waliowapa nafasi?
 
... roger that!
By the way I was just wondering.... hii ya kukosa umeme ati kwa sababu ya ukarabati wa visima vya Pan African Energy wanaotuuzia gesi yetu wenyewe kuna mkono wa hawa jamaa??

malizia mkuu...kwa kufuata bei ya soko na kwa malipo ya USD, TEH TEH?! WAKATI ST INATAKA MALIPO YA NDANI YAWE KWA SH BULLSHIT!! BTW, MLIMUONA BADRA AKIJICHANGANYA KWA MARINI TBC JANA?
 
Well said mkuu kudili na hao jamaa inabidi uwe umejipanga haswa hata Chadema huwa hawaendi kichwa kichwa kwa hao jamaa sasa katibu mwenezi wa CCJ alipopewa rungu akafikiri linaua kila kitu.

Haha haaa CCJ Oyeee.
 
Ukiisaliti demokrasia ya Tanzania nayo demokrasia itakusaliti. Nape, Sitta, Mwakyembe, Killango, Lipumba na wengineo waliisaliti demokrasia yetu na huyo dhambi imeshaanza kuwatafuna. Mtasikia baadhi yao wakidai kuwa wanastaafu ubunge, hawatagombea ubunge 2015. Watatoa sababu za jikoni lakini ukweli utabaki palepale kuwa Demokrasia ya Tanzania haitawapa nafasi kuihujumu kwa mara nyingine.

Kenge ni Kenge tu hata kama magamba yake yana-overlap kwa mbele bado ni samaki tu.
 
Hii thread ya ajabu sana! Yaani huyo Nape kawagusa lini hao watu? Mambo ya kitoto ehee?
 
Ukiisaliti demokrasia ya Tanzania nayo demokrasia itakusaliti. Nape, Sitta, Mwakyembe, Killango, Lipumba na wengineo waliisaliti demokrasia yetu na huyo dhambi imeshaanza kuwatafuna. Mtasikia baadhi yao wakidai kuwa wanastaafu ubunge, hawatagombea ubunge 2015. Watatoa sababu za jikoni lakini ukweli utabaki palepale kuwa Demokrasia ya Tanzania haitawapa nafasi kuihujumu kwa mara nyingine.

Kenge ni Kenge tu hata kama magamba yake yana-overlap kwa mbele bado ni samaki tu.
yaani hamuoni kuwa viongozi wote wa cdm sasa hivi wanafanya kazi ya kuwasafisha mapacha watatu hii ni aibu kubwa tulikuwa tunaamini kuwa mnaweza kutuletea tofauti kumbe ilikuwa ni njaa tu sitashangaa kuja kusikia kuwa hata hata haya maandomano yamefadhiliwa na mapacha watatu yetu macho acheni unafiki
 
Ili kuuonyesha uma kwamba viongozi wakuu ktk cdm wanatumiwa bac ccm iwafukuze rachel et al and then wawapeleke mahakamani, period! Kama mwl alitishia kurudisha kadi kama jina la mzee wa mvumi halitatoka kwanini jmk et al washindwe kuwavua gamba maswahiba wao?! Ukiona wametajwa na hawatui courts zao jua ni kweli/ wana guilty consciency
 
kufanya kosa haimanishi na wewe ufanye kosa kitendo cha cdm kujeuka kuwa vuvuzela wa rachel ni aibu na i can assure that wtz wataelewa hii ndoa yenu na rachel na ndio tutakuwa tunaongelea kwamba zamani cdm ilikuwa na nguvu
 
Back
Top Bottom