mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,141
- 3,452
Pole sana mkuu, halafu humu JF muna kama gundu fulani. Ukitangaza ngumu sana kutoboa
Nikishauri kitu siku nyingn ukiwa na mkeka unaelekea kuwin usipende kuonesha kwa watu wengiyaani hii bayern ikikutana na yanga watapigwa goli nyingi sana.
Mkuu pole sanayaani hii bayern ikikutana na yanga watapigwa goli nyingi sana.
Timu ambayo haikutegemewa kabisa. Hawa wauni sijui waneuza mechi pumbavu zaodah, bayern kanichania mkeka *****....
Siku hizi nabet kimya kimya sijui kwanini ukionyesha watu mkeka una chanika
Mikeka ya presha Kama hii, hupaswi kuangalia mechi.BAYERN mafala wamekosa magoli kibao tuu na mkeka wangu umechanika kimasihara
kabsa yaan
Hawanaga neno hapana awe ameolewa au hajaolewa. Kwao Ni kawaida tu.ila siyo kosa lao ni Mila na desturi za kwao.Sema mkuu wanasema wengi wao they are not wife materials..hivi hili lina ukweli au ni fallacy ya generalization tu inayotusumbua wabongo?