Kweli kingereza kigumu

Kweli kingereza kigumu

nilitekwa ha ha ha! lakini nipo huru sasahivi! mzima wewe?

Niko poa..hata kama kushuka pembe huku kumezidi..mwambie huyo jamaa hayuko peke yake..awe anakupa muda wa kuchepuka
 
ulkimaliza hiyo tafuta pia za wachezaji wa hispania uone kama wanajua kiingereza, mambo ya kawaida ila kwa mtanzania unaona ajabu.
hawajui kingereza na hawaongei kingereza, tatizo wasiojua na wanalazimisha kuongea
 
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.
 
Niko poa..hata kama kushuka pembe huku kumezidi..mwambie huyo jamaa hayuko peke yake..awe anakupa muda wa kuchepuka

haa kumbe una wivu bby? nimesha malizana nae tayari he is a closed chapter..
 
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.

"..they shall went to the national team...." chezea ki engish wewe! lugha zetu za asili zenyewe hatuziwezi hii tutaiweza wapi!
 
haa kumbe una wivu bby? nimesha malizana nae tayari he is a closed chapter..
yani nina wivu hadi natamni duniani tungekuwa tunaishi wawili tu..nwei kama ushamalizana nae basi sawa
 
Yaani ungekuwa na uwezo ungejenga nyumba angani ili kuwaepuka watu fulani! siwataji leo nitawataja kesho!
ila ucjari sasa " kama biashara yetu ni madili mgodi unaumiliki wewe"
 
Hao watu kama wapo humu sema niongee na mods wawapige life ban
 
Tusimuhukumu kwa kingereza chake waweza kuta mkewe huyo ni shemale sasa hawezi kusema I love her inabidi aseme i love him.
 
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.

kama alihojiwa kiingereza basi ilikuwa halali ajikongoje kwa kiingereza hivyo hivyo..tatizo ni unapoamua kutumia kiingereza, kwa mtu ambye kuna lugha nyingine inayowaunganisha na ambayo nyote mnaimaster..wakati kiingereza chako ni breaking news....oh oh ni broken!!!
 
ulkimaliza hiyo tafuta pia za wachezaji wa hispania uone kama wanajua kiingereza, mambo ya kawaida ila kwa mtanzania unaona ajabu.

wahispania wasiojua kiingereza huwa hawaongei kiingereza..wenzetu huko mtu akiamua kuongea basi anajua tayari
 
zis relative who writed this is not to understand..if you have dirty to speak english just drink two small-sacks of Konyagi and english is slipping good

you have dirty = una taka
small sacks = viroba

like zis
 
Attachments

  • 1430124627534.jpg
    1430124627534.jpg
    15.6 KB · Views: 96
Back
Top Bottom