naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Ni kweli sio vzr kukashifu dini ya mwenzako, baki na imani yako usiingilie ya mwenzako.
Halafu huyu bint ndio islam jamaa upande wa pili na bint kasoma hizo ni uniform picha ya zamani sana hiyo jamaa kairusha FB baada ya kuachana alidanganya angebadili dini hakubadili bint karudi kwao na hana habari nini kinaendelea mitandaoni. huyu mpuuzi ushamba wake unamfanya aone islam hawajasoma