Hiyo inaitwa miili ngangari.mwili naupa chakula kizuri, mazoezi, Bia , relaxation ya kutosha ila wapii kuliko zizidi hapo zitashuka..
Nipo kwa kuku 😅😅Bora wewe! Mimi nipo hapo katikati!😩View attachment 3612292
Usijali utafika tu huku muda wako bado!Nipo kwa kuku 😅😅
Kwakweli 😄😅 najua ila sidhan sisi wengine hatuna asili ya miiliUsijali utafika tu huku muda wako bado!
Basi hongera!Kwakweli 😄😅 najua ila sidhan sisi wengine hatuna asili ya miili
ShukraniBasi hongera!
Kwahiyo Minyama IpogoMbona mi nakula hizo na ninaelekea 100😏
Ya kutosha mkuu!Kwahiyo Minyama Ipogo
Inatakiwa ulinganishe uzito huo na urefu ama ufupi ulio nao ili upate uwiano sahihi...
😆😆Inatakiwa ulinganishe uzito huo na urefu ama ufupi ulio nao ili upate uwiano sahihi...
Mbuzi mwenye uzito huo...mnadani hayupo na hapatikani...na ukimpata...huyo ni ndama mkubwa!...ni bei ya ng'ombe kabisa...tembea kifua mbele mkuu.