ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,906
- 77,242
Unadhani ni rahisi kujua? Kutapeliwa kunaumaPole,, next time kuwa makini epuka kufanya biashara na wasio waaminifu
Unadhani ni rahisi kujua? Kutapeliwa kunaumaPole,, next time kuwa makini epuka kufanya biashara na wasio waaminifu
5.9 sijui ni Inch au futi ila 5.9😁Basi ni mwili waki tu mkuu! au height hairuhusu!
unanizidi kidogo, ila hizo kilo mi nakubeba!5.9 sijui ni Inch au futi ila 5.9😁
Kumbe kuna kubebana tena.unanizidi kidogo, ila hizo kilo mi nakubeba!
Kimekuramba? Pole sana mdogo wangu!Unadhani ni rahisi kujua? Kutapeliwa kunauma
Huna taarifa!Kumbe kuna kubebana tena.
Mijimama ya huku kijijini hawanibebagi wananiambia tu mpaji ebu nilalie mgongoni.Huna taarifa!
Itakuwa na mizigo ya kutosha hiyo!Mijimama ya huku kijijini hawanibebagi wananiambia tu mpaji ebu nilalie mgongoni.
Humo humo tunajibanza na hivi baridi inakaribiaItakuwa na mizigo ya kutosha hiyo!
Unataka uwe kibonge ugundue nini?Kg hazipandi zaidi ya hapo,
Kimeniramba! Hapa napumulia gesiKimekuramba? Pole sana mdogo wangu!
Mwanaume mwenye kg 65 ni mwembambaaaaa halafu andunjeUnataka uwe kibonge ugundue nini?
Sio lazima iwe hivyo. Wapo warefu wembamba. Andunje mwenye kilo 67 ni kibongeMwanaume mwenye kg 65 ni mwembambaaaaa halafu andunje
Sema kama haijakutoa mchezoni kubaliana na hali, maana kupigwa hakuna formula wala uzoefu.Kimeniramba! Hapa napumulia gesi
Pole huwezi kujua ni kuwa makini tu mdogo wanguUnadhani ni rahisi kujua? Kutapeliwa kunauma
Huo uzito naweza lala gym kuupunguza. BMI zaidi ya 23 siwezi ikubali kabisa.Jitahid mwanaume uzito uanzie 75
Sijui ila kwetu wote sio walaji.Hiyo hali yako ya kutokula inasababishwa na nini?
YeahVyakula vya kwa shemeji haviwez kukunenepesha
Fanya kaz pata pesa zako ndo utapata utulivu wa nafs
Toka kwa shemeji