Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa

Kweli huu mwili wangu hauna shukrani kabisa

Haitaji ushauri huyu,,
Aanze kazi ya haraka ya kulelewa na auntie huku na yeye anasaidia kazi za nyumbani
Hivi ikiwa nimetuma pesa kwenye lipa namba ya mfanyabiashara siku 2 nyuma halafu kanitapeli, muamala unaweza kurudishwa nikiwasiliana na mtandao?
 
Hivi ikiwa nimetuma pesa kwenye lipa namba ya mfanyabiashara siku 2 nyuma halafu kanitapeli, muamala unaweza kurudishwa nikiwasiliana na mtandao?
Mimi nilikosea kulipa.. ili iwe rahisi inatakiwa iwe mtandao mmoja.

Mfano tigo_tigo, Airtel kwa airtel au voda to voda.

Mimi nililipa tigo kwenda voda, baadae nililipa kingamuzi badala ya Azam nikaselect kwa haraka startimes achaa

Haaaahaa 😁 😊 inabidi uwe mvumilivu poa toa taarifa mapema unachukua muda pia inabidi uwe msumbufu piga huduma ya wateja atleast three times Kila siku kukumbushia

All in all , pesa itachwlewa ila end of month itarudii
 
6Mimi hakuna wiki ambayo huwa nakula milo yote, almost kila wiki huwa nakosa kula milo mitatu. Na mara nyingi nikila nakula kidogo shida njaa iishe basi.

Usiku nimekunywa maziwa pekee, asubuhi hii sinywi chai, mchana sina uhakika wa kula labda njaa iwe kali. Jioni ndio nitakula na kwa hali hiyo inaweza fika usiku nisiwe na njaa. Mara nyingi weekends ratiba ya kula huwa navuruga. Ni mara kadhaa huwa nasahau kula mpaka baadae nikiona siku haiendi au harufu ya chakula ikipita.

Mara ya mwisho nina hizo 67kg nilikaa nyumbani wiki 8 nikaandaliwa ratiba ya kula kwa lazima. Pombe sinywi.
Jitahid mwanaume uzito uanzie 75
 
Mimi nilikosea kulipa.. ili iwe rahisi inatakiwa iwe mtandao mmoja.

Mfano tigo_tigo, Airtel kwa airtel au voda to voda.

Mimi nililipa tigo kwenda voda, baadae nililipa kingamuzi badala ya Azam nikaselect kwa haraka startimes achaa

Haaaahaa 😁 😊 inabidi uwe mvumilivu poa toa taarifa mapema unachukua muda pia inabidi uwe msumbufu piga huduma ya wateja atleast three times Kila siku kukumbushia

All in all , pesa itachwlewa ila end of month itarudii
Wamenambia itarudi kama hajaitoa, tokea alhamis hadi leo itakua tu imekaa kwenye simu yake?
 
Back
Top Bottom