Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,207
- 27,471
Mkuu acha kuzunguka si unataka kunenepa?Balance diet
Mkuu acha kuzunguka si unataka kunenepa?Balance diet
Litaikatikia hiyo nyama ya kati mpka ichomoke😉Basi jichunge usije kupenda limshangazi litakuua na hizo kilo zako.
Kama unashindia zile karanga na mihogo uliyopost jana kaka ,sikuoni ukiwa na uzito mkubwa zaidi zitaendelea kushuka siku hadi siku
Swai nakuheshimu
Hahaha kwa a mchizi ana negative energy ina nyonya nutrientsPunguza Roho mbaya na Chuki mn vinakausha sana vitamins na kudistort protein structures
Sasa hizo ni nzuriKg hazipandi zaidi ya hapo,
OK. Kumbe una changmsha genge?yah mi nakula diet buda
Hiyo hali yako ya kutokula inasababishwa na nini?Mimi hakuna wiki ambayo huwa nakula milo yote, almost kila wiki huwa nakosa kula milo mitatu. Na mara nyingi nikila nakula kidogo shida njaa iishe basi.
Usiku nimekunywa maziwa pekee, asubuhi hii sinywi chai, mchana sina uhakika wa kula labda njaa iwe kali. Jioni ndio nitakula na kwa hali hiyo inaweza fika usiku nisiwe na njaa. Mara nyingi weekends ratiba ya kula huwa navuruga. Ni mara kadhaa huwa nasahau kula mpaka baadae nikiona siku haiendi au harufu ya chakula ikipita.
Mara ya mwisho nina hizo 67kg nilikaa nyumbani wiki 8 nikaandaliwa ratiba ya kula kwa lazima. Pombe sinywi.
Kwamba 🐷 n mzito kuliko 🐮 ah sio kweli hBora wewe! Mimi nipo hapo katikati!😩View attachment 3612292
Wewe ni Ke au Me?Kg hazipandi zaidi ya hapo,
Wafwaa kwa matumizi ghete mwanike😋Bora wewe! Mimi nipo hapo katikati!😩View attachment 3612292