Anataka aongeze Tako.Vyakula vya kwa shemeji haviwez kukunenepesha
Fanya kaz pata pesa zako ndo utapata utulivu wa nafs
Toka kwa shemeji
Ndio🥲Jamanii kilo za mombe😁
Una beti?Napiga balance diet
Me nashangaaga wanaotaka kukonda waje wajifundishe aviator na bettingUna beti?
Basi jichunge usije kupenda limshangazi litakuua na hizo kilo zako.Hapana
We hujakasirika sisi kupewa dili za Shamba ?😁😁 sina chuki wala roho mbaya