Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

Wakati huo huo Waziri wa fedha ametimkia Marekani kukwepa kichapo cha wabunge leo.
 
Liberation of the whole nation is coming and nothing will stop that
 
CCM walisomba watu na posho wakatoa kipindi cha sherehe yao ya 35 years, ukweli ni kwamba CCM imeshakufa Mwanza
 
:)hata wazee nao wanakipenda cdm ni waganga tu wakienyeji ndio hawakipendi cdm.
kwa wazee bado kazi kubwa inabidi ifanyike...mimi nina wazee wangu huko huwa tunasumbuana sana na hawataki kabisa kusikia habari ya chadema...!
 
Natamani tuibalishe nchi hata kabla ya 2015 ikiwezekana kupitia by-election walau watu machungu yapungue kidogo make kila nakopita watu hasira mpaka zinachururuzika usoni ...mweeh!
 
jamani naomba maana ya m4c nimekuwa nikikutana nayo mara nyingi bila kujua maana.

ni uchochezi tu unaoongozwa na mbowe,lema na komu..hawa jamaa sijui wanampango gani na hii nchi,alafu kuna vijamaa vinawaunga mkono hawa wachaga..kila kitu kwenye chama wanaongoza wao wakaskazini,ata ubunge wa Eac walimpeleka kiraza kisa ni wakwao..kuwa macho mkuu.
 
Ta Kamugisha, na wewe fanya hala hala ujiunge Chadema pronto. You do not want to miss the bus.
 
nashindwa kufikiri itakuwaje siku ile itakapotangazwa ccm imeshindwa na imeondolewa madarakani'''nashindwa kuvuta zile hisia itakuwaje''sielewi wakuu
 
Imetokea jana kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama kawaida ya konda ndani ya dala dala anadai chake (Nauli), kabla hajamaliza kudai nauli gali likakata mafuata kiaina (likawa linazimika zimika), ikabidi dereva aingie sheli kuongeza mafuta.

Hatujajua kinachoendelea akainuka mama mmoja kwa asila na kumkoromea konda na dereva, akisema: Mambo ya kutembea na Mafuta ya vidumu mnatuchelewesha kwenye vikao na ntaenda kupigwa faini kwa kuchelewa Tsh. 5,000/=: Mara jirani yake akadakia, Kikao cha nini? Mama akajibu: Kikao cha chama, kwa mshangao wa wengi, kila mmoja alidhani labda kikao cha wakinamama au SACCOS: Mama akadakia tena: Kwenye kikao cha chama cha CHADEMA!

Nkiwa bado nashangaa abiria wote wakadakia: Kama ni kikao cha CHADEMA, tutakuchangia iyo faini, nilidhani kama utani! Kwanza yule konda akamwambia yule mama: wewe ni mjanja, akamrudishaia nauli yake, nkiwa naendelea kushangaa, konda akaanza kukusanya michango kwa ajili ya yule mama. Amini usiamini alichangiwa Tsh. 32,500/=. Chakushangaza zaidi hata watoto wa shule walimchangia yule mama.Nilibaki kushangaa mwanzo mwisho!

Naanza kuisi mabadiliko, kweli hapa Mwanza si mchezo.

Ni mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote kwa sasa.
kamanda ukija arusha utaanguka kwa mshtuko,huku ndio full makamanda,kwa taarifa yako hata ukivaa shati la ccm hupandi dala dala na kuzomewa juu.
 
Back
Top Bottom