Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

hapo sawasawa, hapa Arusha kwetu ni kawaida sana,nimefurahishwa sana arifu na kama m4c inaendelea kusambaa naamini mpaka mwezi wa sita kila mmoja isipokuwa wale mafisadi watakuja kwa the peoplesssssssssssssssssss! powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Ta Kamugisha unashangaa hilo kwa Mwanza??!!Umesahau juzi tu CCM na mgombea wao tajiri wa udiwani bwana Masamaki pale Kata ya Kirumba walivyobwagwa na fedha zao?!!!Chezea mtu ya Mwanza weye.
 
Poa kamanda wataipata fresh.Leo ni Busanda kuanzia jioni ni vikao vya ndani kesho.Tunahamasisha wananchi Tahrir square ya Geita......

Hapo kwenye Red umenikumbusha ile thread yetu kule...nyuki,simba etc.lol

Vipi mkuu, Kamanda Phenias Magessa atakuwepo??
 
Imetokea jana kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama kawaida ya konda ndani ya dala dala anadai chake (Nauli), kabla hajamaliza kudai nauli gali likakata mafuata kiaina (likawa linazimika zimika), ikabidi dereva aingie sheli kuongeza mafuta.

Hatujajua kinachoendelea akainuka mama mmoja kwa asila na kumkoromea konda na dereva, akisema: Mambo ya kutembea na Mafuta ya vidumu mnatuchelewesha kwenye vikao na ntaenda kupigwa faini kwa kuchelewa Tsh. 5,000/=: Mara jirani yake akadakia, Kikao cha nini? Mama akajibu: Kikao cha chama, kwa mshangao wa wengi, kila mmoja alidhani labda kikao cha wakinamama au SACCOS: Mama akadakia tena: Kwenye kikao cha chama cha CHADEMA!

Nkiwa bado nashangaa abiria wote wakadakia: Kama ni kikao cha CHADEMA, tutakuchangia iyo faini, nilidhani kama utani! Kwanza yule konda akamwambia yule mama: wewe ni mjanja, akamrudishaia nauli yake, nkiwa naendelea kushangaa, konda akaanza kukusanya michango kwa ajili ya yule mama. Amini usiamini alichangiwa Tsh. 32,500/=. Chakushangaza zaidi hata watoto wa shule walimchangia yule mama.Nilibaki kushangaa mwanzo mwisho!

Naanza kuisi mabadiliko, kweli hapa Mwanza si mchezo.

Ni mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote kwa sasa.

Hii kwa kweli inatia moyo. Kama watanzania tumefika sehemu ya kuchochwa na mambo, basi nadhani wakati ndio huu. Nadhani kilio cha watanzania sasa kinasikika na mda si mrefu watu wanaimba na kushangilia kwa shange kuu.
 
Aisee ... waitor niletee safari ya moto " Saa ya ukombozi ni sasa".

Mkuu ukombozi unafanyika Bar?
kama upo kijijini hebu pita japonyumba mbili za tembe mwaga sumu halafu nenda baade ukapate, hizo Safari za moto
 
Nimeona ila mnaitaji nguvu za ziada kunishawishi! Maana nimeshaumwa na Nyoka, jani hata na Mjusi kwa sasa naviogopa
Kwani wapi tena hiyo Mzee si pale nyumbani mnaye kijana wetu Peoples Power??????? Usingoje eti ufanyiwe huu ni wakati wako wa kuingia jikoni, hapo utaelewa kinacho endelea lakini ukikaa nje utaambulia makombo!!!!!

 
Mkuu ukombozi unafanyika Bar?
kama upo kijijini hebu pita japonyumba mbili za tembe mwaga sumu halafu nenda baade ukapate, hizo Safari za moto
Sawa mkuu, ngoja nifanye hivyo. Elimu ya uraia ni haki ya kila mwananchi kuipata.
 
Yeah...this is good news, you see, things have really changed, citizen of now days are quite different from those in past, that's why ccm MUST GO TO HELL BY 2015....

Measures to eliminate CCM in our country have to be taken seriously, not by our leaders in CDM but by ourselves with our own little money we have and everything little we have......
TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE NEED......YES WE CAN....GOD BLESS CDM...

Karl Max'social revolution is inevitable once the necessary factors have rippen'CDM HAS HOLD THE FACTORS THATS WHY IS SO LOVED BY THE WORKING CLASS[PROLETARIANS OR THE POOR NORMAL CITICENS].THE RULING CLASS MUST FALL.
 
Poa kamanda wataipata fresh.Leo ni Busanda kuanzia jioni ni vikao vya ndani kesho.Tunahamasisha wananchi Tahrir square ya Geita......

Hapo kwenye Red umenikumbusha ile thread yetu kule...nyuki,simba etc.lol

Mnafanya makosa sana kutokuja Kagera........watu wanasubiri kupushiwa kidogo tu. Unganisheni wananchi tutachanga.
 
Poa kamanda wataipata fresh.Leo ni Busanda kuanzia jioni ni vikao vya ndani kesho.Tunahamasisha wananchi Tahrir square ya Geita......

Hapo kwenye Red umenikumbusha ile thread yetu kule...nyuki,simba etc.lol

Kule Geita kuna mtu anaitwa Msukuma alikuwa Mwenyekiti wa Halmashauri wakamuengua kwa fitina. Wasilianeni naye japo najua kuna kigogo mmoja anamzuia kuondoka.
 
Back
Top Bottom