Kweli ATCL wanastahili kutumbuliwa


Duh! Au Uongozi wa ATCL UmeoNwa na washindani wao 'nini?
 
Hivi mnafikiri mashirika yote ya umma yaliuliwa na akina nani?
 
Lengo la biashara zinazomilikiwa na serikali ni tofauti na biashara binafsi. Sio kuua biashara nyingine bali ni kuboresha huduma.

Hayo mashirika mengine yanalipa kodi na yametoa ajira. Kuyaondoa kwenye biashara tena kwa muda mfupi ni kuua uchumi.
 
Umesema ukweli kuna Mkuu wa chuo wa chuo cha ualimu cha serikali aisee huyu Mkuu ni mzigo hawezi Fanya lolote uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sio mbunifu hata kidogo chuo kimedoda hata kununua viti kwa ajli ya staff hawezi.hii serikali sijui vipi wanateuaje viongozi wa taasisi za uma sijui wanatumia vigezo gani tena huu utaratibu wa kuteua wakuu was vyuo in mbovu kabisa hawa watu walitakiwa wapigwe interview sio teuzi mbovu za kujuana nchi hii inateketea kwa uzembe wa serikali
 
Ndio maana nilishangaa Jana jumapili nimekuta ndege zote za ATC L kuanzia asubuhi hadi mchana naondoka airport ziko zote Mbili zilizonunuliwa zimepaki zimekaa tu hadi zinatia huruma nikajiuliza hivi jumapili zinakuwa off haziruki?
 
Jaribu kuangalia shirika kama la Easy jet la Uingereza ambalo ndilo linamiliki Faster jet. Likiyumba kifedha mashirika mengine binafsi yanaweza kufurahia kwa sababu inatoa mwanya wa biashara kwao lakini serikali ya Uingereza watakuwa tayari hata kuwapa fedha ili lisife ingawa wanashirika lao la British Airways.

Kuna impact kubwa kwenye uchumi serikali ikiwa inatumia kodi za wananchi kushinda na mashirika binafsi badala ya kuwasaidia.
 
Afu utakuta wanaozipanda hizo ndege za route za saa3 usiku niwazungu
Maana wabongo nnavowajua hawez akakata ticket ya ucku afu ya bei kubwa akaacha za bei rahic za mchana
 
Wengi wamesema hapa jamvini kwama ATCL imeanza vibaya na haitafika popote! Its a WHITE ELEPHANT PROJECT, So sad; too bad!
 
Huwezi kujua. Labda kuna mkakati ficho nyuma yake!
 



Natamani Ze comedy wangetumia hii script yako kuandaa moja ya show zao; Nice satire!
 
Reactions: ydn
Fafanua kidogo kwenye bei.
Una maana Atcl bei yao ni kubwa mara mbili kuliko precision air na fastjet au?
ATCL bei yao ni nusu ya bei ya hayo mashirika mengine. Kwa mfano nauli ya ATCL Mwanz to Dar ni shs 160,000/ wakati nauli hiyo ni takribani shs 330,000/ kwa mashirika hayo mengine.
 
ATCL bei yao ni nusu ya bei ya hayo mashirika mengine. Kwa mfano nauli ya ATCL Mwanz to Dar ni shs 160,000/ wakati nauli hiyo ni takribani shs 330,000/ kwa mashirika hayo mengine.
Thanks for this valuable info.
 
Nitoke nje ya mada kidogo; hivi ni kwanini route ya Dar - Kilimanjaro ambayo ni umbali mfupi ni ghali zaidi ya Dar - Mwanza ambayo ni ndefu? Naombeni kujuzwa wadau.
 
Nitoke nje ya mada kidogo; hivi ni kwanini route ya Dar - Kilimanjaro ambayo ni umbali mfupi ni ghali zaidi ya Dar - Mwanza ambayo ni ndefu? Naombeni kujuzwa wadau.
Route ya Mwanza ndio ina abiria wengi So lazima bei iwe nafuu sababu route zinakuwa nyingi
 
Kikwete ndiye mratibu Wa ushenzi wote kupitia precision air
 
Msiwalaumu Atcl. Anayetoa ruti ni Taasisi nyingine wao wanapangiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…