Kwaya ya Barabara ya 13 Ulyankulu

Mkuu Nyimbo za Bahati na Shusho ulikuwa mdogo? Au nimesoma vibaya?
 


Kulikua na barabara ya 13 na Mapigano Kwaya!

Hawa watu walikua wanaimba sn jamani!
 
Nipo hapa nasikiliza nyimbo za zamani hadi machozi yananilenga. Kwa kweli hawa waimbaji wa zamani wamebarikiwa sana. Ila kuna watu wana roho mbaya mno. Baada ya kuona tunaweza kupata nyimbo hizo YouTube, wameenda kuzifuta. Waacheni watu tusikilize nyimbo za Mungu. Roho mbaya ya nini???

Napenda sana nyimbo za Barabara 13, Arusha Town Choir, Upendo Choir (Hai), Nkinga Christian Choir (NCC), na Patandi Choir (Arusha).
 
Kuna albam 1 inaitwa PESA, sijui waliimba kwaya gan..bonge 1 pa albam
 
Mkuu nadhani ni kwa nia nzuri tu ya kutaka wahusika wapate jasho lao kwa kazi kubwa waliyoifanya.ingawa sina uhakika maana walijitoa haswaa.

Isijekuwa wahuni tu wanataka watumie fursa.
 
Kuna vijana wa Poneka pale Igunga au Nkinga hivi, noma sana ilikuwa
 
 
Mkuu hawa patandi kila nikiwasikia hasa wimbo wao mmoja unaoimba "mambo yaliyotokea meru yanasikitisha" napata huzuni ya ghafla ya mjomba wangu aliyefia vita vya dayosisi huko miaka ya 1193/4[emoji29]
 
Patandi Kwaya Ile album baada ya Vita inaitwaje?

Naitafuta sana
 
Ukiipata hii album nitag.
 
Nami usinisahau copy.
 
Naona hakuna aliyezipakua hizi nyimbo. Mimi ninazo zote mp3 tena quality nzuri. Kesho nikiwasha kompyuta yangu mpakato nitaziweka hapa zote. Nikisahau mnikumbushe wadau. Huwa nazisikiliza nyimbo hizi nikiwa na huzuni au kama nimetingwa na shughuli nzito inayohitaji utulivu wa fikra na roho.
 
Kuna kwaya nahisi ni ya singida,, inaanza na igizo la mtu mmoja anaitwa SABINA, kati ya nyimbo kuna mmoja inamuhusu NEBUKADNEZA, hiyo ilikuwa about 1998,, kuna mwenye kuweza kuunganisha dots hizo nikaipata hii CD naitafuta sana
 
Nakukumbusha Mdau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…