abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habari wadau hivi Watanzania alie turoga nani hasa wasanii kwa sababu ya vitu wanavyo Fanya vya tofaut ila kwa kua wanajua wanaweza kusema na mambo yakafika mbali Basi hawaogop kufanya ujinga
Basata Hatua ilochukua ni Hatua nzur Sana kwanza kwa maadil ya kitanzania pia hata kufuta ujinga ambao wasanii kama tungewachekea wangeharibu watoto zetu
Fikiria Wasanii wa Leo katika mashair yao ili wafikishe ujumbe kwa wasikilizaji kua Wapenzi wao wanajua Mapenzi basi ni lazima waseme kua Wapenzi wao Wana michezo ya kuwapa kwa mpalange, kwenye mtaro, jicho au kwenye tope na wakisema hayo wote Hua Tunaelewa ni Nini wanazungumzia
Sasa naomba tujiulize wenyewe maswal ivi kizazi chetu Kiki kua na kukuta jamii nzima inaimba Mapenzi ya kinyume na Maumbile kama Mapenzi ya kawaida na yenye thamani Zaid kwa Wapenzi mnafikir ni Nini watafanya ili kuwaridhisha Wapenzi wao ili wasije kujiskia unyonge pale wenzao wanapo Imba kaamisha pale nilipo zowea anataka aweke kwenye Mtaro,
Au kutaka na yeye kumpitisha mpenzi wake kunduchi juu?????
Vip akiona ushaur wa kua kama atapata bwana mzungu akimpa kwa mpalange hato muacha
Pia wasanii wamekua wanaharibu Taswira ya Maeneo husika mfano Kwa Mpalange mpaka sasaiv kwenye mawazo ya watu tayar wanaamin kwa Mpalange ni sehem ilio jaa ujinga wakat si kweli
Wasanii wa sasaivi wanaubil Mapenzi ya kinyume na Maumbile kwa wingu na tungo za namna io zimesha kua nyingi Sana
Basata haikutakiwa ku dael na nyimbo ambazo haijatoka tu wangewapiga hata fain baadh ya wasanii kwa sababu ya nyimbo zao za kishetan.
Pia Basata isiziwie Msanii kutumia Tafsida ila iwe inachuja Baadhi ya Tafsida zenye ukakasi kama kwa mpalange, mtaro. Jicho, na mengine mengi yanayo husu ujinga