Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,824
- 5,812
Weak justification.Mbona kizazi cha nyuma kililinda maadili ya watoto ambao ndo taifa tunaloona leo....vp ikawaje maadili yakavurugika? West mzee... shida ni west uchafu wote unatengenezwa+unasimamiwa+unapigiwa promo huko....sisi kwa asilimia kubwa tunapokea na kuendeleza tu
BASATA hata serikali kwa ujumla hawana uwezo wa kukomesha hii kitu....ni sawa na wewe kutaka kubadili au kuzui kitu fulani INSTAGRAM wakati mwenye ALGORITHM yupo West
Kitu ambacho unajua ni kibovu kwanini unakipokea?
Kukipokea ni evidence tosha kwamba hakuna maadili.
Mtu mwenye maadili asingepokea wala kuendeleza vitu vibovu.