Ina maana BASATA mnakagua matusi na kuruhusu kupigwa mpaka kwenye Media?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Yani Kuna nyimbo nipo sehemu anasikia ikiongerea mambo ya mapenzi kinyume na maumbile Yani nipo na baba mkwe mpaka naona aibu.

Basata ndio inapenda hizi nyimbo na kupewa kibali.

Kwa mtindo huu unaweza kushangaa zinapigwa mpaka kwa wageni Toka nchi kubwa kama nilivoona shoro mwamba anaimba hakuna ushemeji mbele ya jeshi maazimisho
 
Mkuu huo ujasiri wa kusikiliza bongo fleva ukiwa na wakwe unaotoa wapi? , Ukiwa na wakwe sikiliza kaswida au kwaya tena kama ni mkristo ikipigwa kwaya una Anza kunena kwa lugha kabisa ili uzidi kujipatia point
 
Kuna harusi moja Jamaa wametoka kufunga Ndoa sasa kuna zile nyimbo za kufungia saa 4 kuelekea 5 DJ akapiga Jimbo moja kuna kipande kinasema 'huyu demu wake Nani?'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom