Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 207
- 345
Yesu alisema acha magugu na ngano vikue pamoja...utafanyaje sasa?? hata ukifungia wasanii wasiimbe kabisa kuna muvi za nje.....kuna Internet ambayo upo huru kuangalia uchafu unaoutaka...cha muhimu kila abiria achunge mzigo wake...baba linda familia yako mama walinde watoto wako...pia amua kushikamana na Mungu kweli kweli wewe na familia yako maana huyo pekee ndiye anaweza kuokoa kizazi na si BASATA wala SERIKALI kwa ujumlaMiaka 14 acha utani Mkuu, alafu si kwa watoto tu hii ni kwa jamii nzima amini usiamini vijana wengi hasa wa kike wanaingia kwenye huo mchezo kupitia ushawishi wa hawa ma star.
Sasa fikiria tu mdada yupo gheto na mhuni wake wanakulana huku hio nyimbo inaimba kwenye boofer siku ya kwanza, ya pili mara wiki kwanini asi apply?
Pitia pitia maeneo wanayokaa wanachuo au vijiwe vya vijana hautaamini hizi story za yule analiwa ndogo mara yule anapenda ndogo. Mkuu hizi nyimbo sio zikifuatiwa na Movie za njee sasa hivi nyingi zinasambaza itikadi ya mapenzi ya jinsia moja.
Unakuta shoga ni askari au mtu mwenye kitu cha kipekee kwenye movie husika na haoneshi kabisa kuwa shoga kwa nje unafikiri jamii inajifunza nini hapo?, jamii inaona Ah!, kumbe unaweza kuwa shoga na ukafanya mambo yako fresh tu. Matokeo yake ni janga kwa kizazi kijacho