KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,143
- 32,889
Hili tatizo la wasanii kuimba lugha zinazotafsiriwa kuwa ni matusi na watu kushangilia ni kiashiria cha jinsi gani jamii yetu ilivyo katika mmonyoko mkubwa wa maadili......vile vile hii hatua ya BASATA inatuonyesha ni jinsi gani waTanzania tulivyo wanafiki na tunaishi maisha ya kinafiki........wale waliokuwa wakiwashutumu wasanii kwa kuimba nyimbo zisizo na maadili ndio hao hao wanawashutumu BASATA......