Kwasababu ya Kwampalange na kwenye mtaro mimi Naungana na BASATA

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habari wadau hivi Watanzania alie turoga nani hasa wasanii kwa sababu ya vitu wanavyo Fanya vya tofaut ila kwa kua wanajua wanaweza kusema na mambo yakafika mbali Basi hawaogop kufanya ujinga

Basata Hatua ilochukua ni Hatua nzur Sana kwanza kwa maadil ya kitanzania pia hata kufuta ujinga ambao wasanii kama tungewachekea wangeharibu watoto zetu

Fikiria Wasanii wa Leo katika mashair yao ili wafikishe ujumbe kwa wasikilizaji kua Wapenzi wao wanajua Mapenzi basi ni lazima waseme kua Wapenzi wao Wana michezo ya kuwapa kwa mpalange, kwenye mtaro, jicho au kwenye tope na wakisema hayo wote Hua Tunaelewa ni Nini wanazungumzia

Sasa naomba tujiulize wenyewe maswal ivi kizazi chetu Kiki kua na kukuta jamii nzima inaimba Mapenzi ya kinyume na Maumbile kama Mapenzi ya kawaida na yenye thamani Zaid kwa Wapenzi mnafikir ni Nini watafanya ili kuwaridhisha Wapenzi wao ili wasije kujiskia unyonge pale wenzao wanapo Imba kaamisha pale nilipo zowea anataka aweke kwenye Mtaro,
Au kutaka na yeye kumpitisha mpenzi wake kunduchi juu?????

Vip akiona ushaur wa kua kama atapata bwana mzungu akimpa kwa mpalange hato muacha

Pia wasanii wamekua wanaharibu Taswira ya Maeneo husika mfano Kwa Mpalange mpaka sasaiv kwenye mawazo ya watu tayar wanaamin kwa Mpalange ni sehem ilio jaa ujinga wakat si kweli

Wasanii wa sasaivi wanaubil Mapenzi ya kinyume na Maumbile kwa wingu na tungo za namna io zimesha kua nyingi Sana

Basata haikutakiwa ku dael na nyimbo ambazo haijatoka tu wangewapiga hata fain baadh ya wasanii kwa sababu ya nyimbo zao za kishetan.

Pia Basata isiziwie Msanii kutumia Tafsida ila iwe inachuja Baadhi ya Tafsida zenye ukakasi kama kwa mpalange, mtaro. Jicho, na mengine mengi yanayo husu ujinga
 
Ndio maana sisikilizi radio station hamna cha ziada zaidi ya hayo madudu lakini tutegemee cha ziada kipi kama role model ndio kama Diamond anayebadilisha mabinti kila siku? Inabidi kama kioo cha jamii kuwa na responsibilities na restrictions kadhaa na ilo ni jukumu la Basata lasivo watoto wataona ni sawa kubadilisha wanawake vile vile.
 
Hivi wasanii wanaweza kila siku kuimba nyimbo zenye maudhui yasiyopendwa na idadi kubwa katika jamii?

Nadhani hapa kuna tatizo kubwa la kimalezi ambalo linaanzia kwenye jamii/Vijana wa leo,

Vijana wenye maadili mema hawawezi kupenda nyimbo za matusi,

Tuanze kurekebisa chanzo cha tatizo kwanza.
 
Huwezi kua upo ndan ya mtumbwi unaovuja maji ukaacha kumziwia anae toboa ukaanza kwanza kuziba matundu ambayo katoboa awali
 
Wimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90

Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,

Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.

Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
 
Wimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,

Kwaio wewe ukiambiwa na mtu umpe tigo utaelewa Nini? Au utampa
 
2pac aliwahi sema 'the hate you gave to the little infants fucks everybody'..

Kama watoto wa Tandale wangekuwa na maisha Bora na malezi Bora ..wasingekuwa wanaimba matusi leo na kuwa role models wa watoto wa masaki na Oysterbay....

Hamkujali ya watoto wa Tandale na Manzese
Leo wanaimbisha matusi watoto wote
 
Wimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,
Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,
Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.
Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
Haya,poa basi, nikusafishe mtaro?
 
Msanii bora ni Alikiba, anaimba mapenzi lakini hutasikia lugha Kama hizo.
Diamond ndo kinara wa nyimbo zenye lugha ya ukakasi na ndio role model wa wasanii wengi.

Inashangaza kuchuja nyimbo mpya zinazotoka wakati za zamani zenye matusi zinaendelea kuwepo.
 
Wimbo kama Nyama ya bata ni tamu,muhogo wa jangombe,naodha kukaa nyuma,mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe,ziliimbwa miaka ya 90,
Huwezi kumuhukumu mtu kwa tafsiri unayoitengeneza wewe,
Nyegezi,Jicho,kwa mparange,Tigo, hayo maneno yote ni ya kawaida kabisa.
Ila mtu akiimba ,"we dada nipe Tigo"Basata watasema katukana,cha ajabu hapa nchini kuna kampuni inaitwa Tigo,mbona haiambiwi imeandika tusi kwenye bango lao.
Nchi hii imejaa wajinga sana mkuu, kwa mpalange ni eneo lililopo hapa nchini. Eti lakini ukiimba kwa mpalange eti ni tusi...what the fu.ck

Hauwezi kuwa unahukumu kwa kutumia tafsiri zisizo rasmi kutoka kwa watu
 
Wasanii wanaolia ni wale wanaofosi mziki ambao wanatumia matusi.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom