Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,967
- 42,206
- Thread starter
- #841
Ndugu yangu walokole akili zao ni ngumu kuzielewaBeira Boy hii imekaaje?
Wanapinga sana kwaresma lakini wanasherekea pasaka ambayo mwanzo wake ni kwaresma na wakati huo wana sherekea pentecoste ambayo mwanzo wake ni kwaresma pia
Sisi tunaazimisha pasaka kama fumbo la mateso, kifo na kufufuka kwa BWANA wao wanaazimisha pasaka kama kufufuka kwa KRISTO pekee mateso ya YESU wao hawaoni nayo kama ni kitu cha kutukuza