La hasha! Ratiba ilinibana.Unayumba jana ulienda?
Milele Amina ,tukumbuke kutenda yaliyo mema zaidiTumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU
Tunaendelea na kipindi cha kwaresma na leo tuko siku ya nne
Amina mkuu.Sema usiogope siku ulianza kwenda ndo utakuwa umefungulia njia
Hautaacha tena bas nakuombea sana
Nitafanya hivyo.Jarbu tu siku yeyote ile pita kanisani hakika hautaacha tena kwenda kanisani
Kwa sasa Kuna nguvu ndo ina nguvu ndan yako na ndo inayokuzuia na imekushinda
Ila utainuka usijali
Muda wa kuteseka kwa mfungo tuko pekeyetu muda wa kula tuko wote.Kwarezima mbona huwa haiwahusu waumini wa makanisa ya kilokole? Lakini pasaka inawahusu?
Beira Boy hii imekaaje?Muda wa kuteseka kwa mfungo tuko pekeyetu muda wa kula tuko wote.
Huu ni uhuni!
Yaani niteseke kwa mfungo kwa takribani siku 40, halafu mpuuzi mmoja ambaye hajafunga siku nikiwa nakula pasaka aje kunichekea na kutokwa na mate kisa msosi wa nguvu ninaoushushia?Beira Boy hii imekaaje?
Wanikome awamu hii aisee! Sitaki mchezo na Siku kuu niliyoitesekea kwa mfungo mkali.Walokole wanazingua mda mwingine sijui sababu ya elimu sijui nini
Ni ngumu kuwaelewa