Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Naendelea kuwakumbusha kufunga ndugu zangu

Zambi hatufungi bali zambi tunaziacha kabisa
 
Masomo Dominika ya leo ni kutoka kitabu cha mwanzo 12 na somo la pili ni kutoka 2timotheo 1:8-10 injili ni kutoka mathayo 17:1-9
 
Back
Top Bottom