Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Tunaendelea na kipindi cha kwaresma

Kipindi hiki ni kipindi cha kumlilia MUNGU kwa kufunga na kusali

Tuendelee kujinyima na kuwakumbuka wenzetu wasio nacho
 
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU

Tunaendelea na kipindi cha kwaresma na leo tuko siku ya nne
 
Back
Top Bottom