Kwa kweli survival for the fittest ndo njia peke ya kuishi duniani.Ulimwengu hauna huruma ndugu yangu
Wewe acha kabisa aisee
Kama huna kitu halafu unajifanya unakijua hicho kitu kunafanya uonekane mchawi aliyekubuhu.Dunian inabidi ujikamilishe wewe kama wewe, nje ya hapo utaonekana mswahili au huna akili
Kama huna kitu hakuna atakaye kusikiliza
Mkiwa mnacheka wote utafikiri mnapendana na hutakosa msaada kumbe siku ukipata tatizo Kila mtu ana disappear.Na hata kama ukipata shida hakuna mtu ambaye atataka akusikilize na shida zako
Ni changamoto sana