Kwaresma na Pasaka Special Thread

Kwaresma na Pasaka Special Thread

Leo tumeanza SIKU tatu Kuu katika juma kuu

Alhamisi Kuu
Ijumaa kuu
Jumamos kuu kuamkia jumapili
 
Tuendelee kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa Neema hii ya kipindi hiki kitakatifu
 
Kwa hiyo ulifundishwa na akina kasalo, shuma, gudila, milka, shedula bila kumsahau marehemu onesmo ngolo AKA me bean (bini).
Ndiyo shuma kanifundisha kemia, Mr bean general studies, kasaro bam nilikuwa hata selewii....

Milka alikuwa mmbea, gudila much know, shedula na upara wake
 
Aise wewe kumbe ni familia kabisa, duh nilikuwa sijui kama ulishapita pale.

Vipi kuhusu yuda na kitambo chake kama kameza mpira na sautibyake kama ya kike, Omary AKA mpemba, pamoja na madam Moja mwenye shepu ambaye nilimtongoza.

RIP Mr. Bien.
 
Yuda yupo, huyo mpemba na mkewe apika maandazi, madam mwenye shepu kama ananyoa dinael au nani ? Odilia shao au magreth shayo
 
Odilia ana mguu mzuuuuri jamani.
Magreth Shaya ndo mwenye Shepu kali.

Vipi kuhusu Benteke.
Benteke tulitaka kumuua mpka tukafukuzwa shule wiki tatu kasoro na wazazi tuje nao plus kuchangishwa 20k za ukarabati baada ya kuharibu nyumba ya benteke ,

Hiyo siku nilitembea kutoka lyamungo to machame road ñikiwa peku na mgomo wetu ulimkanya benteke aache kiherehere kama bwabwa na akaacha,

so far tulitaka kukiamsha na umbwe Tena,

Ilifika sehemu nikasema nimalize tuu niondoke nikuwa nshachoka na mpka Leo sijarudi lyamungo sijui pakoje kwa sasa,

Ila napapendea mazingira ukijani full time, ubaridi usio kera, maparachichi, ndizi, maji huhangaiki hata kidogo, msosi usiseme......

Lyamungo home of excellent
 
Mwaka juzi nilienda nikamkuta wamemdilisha mkuu wa shule anawapelekesha wanafunzi utafikiri kawazaa yeye.
 
Niwatakie kila la kheri ila kuweni makini na wale vibaka , wanatuharibu image yetu , wanaweza kulipua huko kwenye misusanyiko yenu.
 
Screenshot_20250418_132811_X.jpg
 
Back
Top Bottom