Kawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too..Ulikosea sana
Hata kiswahil tu nacho kinakupiga chenga ndugu yangu, au ndio uzembe mdogo mdogoBwana atuoshe na zambi zetu tuyaanze maisha mapya ya kiroho
Haleluya..BWANA amefufuka tuimbe aleluya
Acha maneno bwanaa 😂😂Hii ni zambi ya kibiblia siyo ya kidunia
Heb onyesha mahala inaandikwa hivyo mtumishi? Nipe aya kadhaa .Dhambi kidunia huandikwa hivyo
Zambi huandikwa hivi kibiblia mtumish
Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewaKawaida sana kukosea kwenye maisha na sishangazwi na kukosea kwasasa, i dont care too..
Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifaHaleluya..
Kiswahil ni kigumu namna hii??
WEwe umeandika kwa lugha gani na umewaandikia watu wa taifa gani.Wewe ndo mgumu kuelewa jamaa yangu. Aleluya inatofautiana kutoka na kabila , lugha na taifa
Sasa wewe kijana mdogo namna hiyo unifundishe mimi juu ya kuwajibika? Una watoto wangapi kwanza tuanzie hapo!?Utakuja kujuta pale utakapoanza kuwajibika , saiv huwezi elewa
Huwezi pata mpaka Yesu anarud kijana wangu, unayeongea nae hapa Bible imelala kichwani.😂.Ngoja nipekua bible hapa