secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,361
- 28,718
Mimi nilipiga HKL Mkuu, Huwa sipendi mambo magumu.Ulipiga combi gani pale, mshua ndege Joni umenifurahisha sana 😂
Mimi nilipiga HKL Mkuu, Huwa sipendi mambo magumu.Ulipiga combi gani pale, mshua ndege Joni umenifurahisha sana 😂
Ndo maana unamjua gudila vzr, na milka 😂Mimi nilipiga HKL Mkuu, Huwa sipendi mambo magumu.
Wale madam nawafahamu vizuri wanapoenda kuvaa nguo za kutega.Ndo maana unamjua gudila vzr, na milka 😂
Nimezurura kule mpk sehem inaitwa makeresho, mto weruweru, kule kama unaenda manushi, tumo na tumonaWale madam nawafahamu vizuri wanapoenda kuvaa nguo za kutega.
Nomeogelea sana kwenye like blonde la mto weruweru maji ya kule ni ya baridi sana.Nimezurura kule mpk sehem inaitwa makeresho, mto weruweru, kule kama unaenda manushi, tumo na tumona
Asante sana ndugu yetuNiwatakie kila la kheri ila kuweni makini na wale vibaka , wanatuharibu image yetu , wanaweza kulipua huko kwenye misusanyiko yenu.
Wewe ndo maana mkeo amekutimua home kama kibaka
Hiv kumbe nimetimuliwa nyumbani na mwenyewe sijui??? Watu mna siri sana!😂😂Wewe ndo maana mkeo amekutimua home kama kibaka
Ebu badilisha hiyo avatar ndege tumeichokaNomeogelea sana kwenye like blonde la mto weruweru maji ya kule ni ya baridi sana.
Ngoja niweke picha nyingine.Ebu badilisha hiyo avatar ndege tumeichoka
..hela yangu usisahau pasaka kesho kutwa 😂
MpKa nimeshutuka maake sijakuzoea na picha hiyo 😂😂Ngoja niweke picha nyingine.
Ila ndege nitamridhisha tu.
Hahaha 😁🤣, wakenya wanasema ni ngori.MpKa nimeshutuka maake sijakuzoea na picha hiyo 😂😂
Ni ngori mazee 😂 😂 thma hela yangu kijana wa sangaHahaha 😁🤣, wakenya wanasema ni ngori.
Hali ya uchumi wangu ni ngori kijana wangu ngoja nichakarike kwanza.Ni ngori mazee 😂 😂 thma hela yangu kijana wa sanga
Pambana jamaa angu so poaHali ya uchumi wangu ni ngori kijana wangu ngoja nichakarike kwanza.
Maisha haya hayana hata chembe ya huruma.Pambana jamaa angu so poa
Kina nani hao walimtuma wapo wangapi??Quran suratu Alfat hu Aya ya 29.
{ مُّحَمَّدٞ رَّسُولُ ٱللَّهِۚ وَٱلَّذِينَ مَعَهُۥٓ أَشِدَّآءُ عَلَى ٱلۡكُفَّارِ
رُحَمَآءُ بَيۡنَهُمۡۖ تَرَىٰهُمۡ رُكَّعٗا سُجَّدٗا يَبۡتَغُونَ فَضۡلٗا مِّنَ ٱللَّهِ وَرِضۡوَٰنٗاۖ سِيمَاهُمۡ فِي وُجُوهِهِم مِّنۡ أَثَرِ ٱلسُّجُودِۚ ذَٰلِكَ مَثَلُهُمۡ فِي ٱلتَّوۡرَىٰةِۚ وَمَثَلُهُمۡ فِي ٱلۡإِنجِيلِ كَزَرۡعٍ أَخۡرَجَ شَطۡـَٔهُۥ فَـَٔازَرَهُۥ فَٱسۡتَغۡلَظَ فَٱسۡتَوَىٰ عَلَىٰ سُوقِهِۦ يُعۡجِبُ ٱلزُّرَّاعَ لِيَغِيظَ بِهِمُ ٱلۡكُفَّارَۗ وَعَدَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ مِنۡهُم مَّغۡفِرَةٗ وَأَجۡرًا عَظِيمَۢا }
Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa".
Suuratul Alfat hu Aya ya
8
"
{ إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدٗا وَمُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا }
Hakika tumekutuma wewe (Muhammad ) uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji",
Mtumish sisi tunaadhimisha kumbukumbu la mateso, kifo na kufufuka kwa BWANA WETU YESU KRISTOMambo ya Walawi (Lev) 23:5
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.
In the fourteenth day of the first month at even is the LORD'S passover.
Je ni kwanini tarehe ya kuiadhimisha Pasaka imebadikishwa ?
Nasubiri jibu