Pasaka njemaHiv kumbe nimetimuliwa nyumbani na mwenyewe sijui??? Watu mna siri sana!😂😂
Hivi kumbe leo ni pasaka!!?Pasaka njema
Vip mwanao bado anavaa rozary au ushamnyanganya?Hivi kumbe leo ni pasaka!!?
E bwana ee, hata sina habari. Anyways, mi kwangu sioni tofauti yoyote when it comes to days. Kwangu jmos ni kama j2 na kama j5 pia.
Just fully living the moment regardless
Niliwashauri wairudishe kwa muhusika, so sijui chochote kinachoendelea kuwahusu as am not their custodianVip mwanao bado anavaa rozary au ushamnyanganya?
Ulikosea sanaNiliwashauri wairudishe kwa muhusika, so sijui chochote kinachoendelea kuwahusu as am not their custodian