Nilivyoelewa ukilinganisha hiyo picha ya kwanza na ya pili polisi/wanajeshi wa kwao wapo kwa ajili ya kuwalinda raia wake ili waishi vizuri, tofauti na kwetu polisi wetu ndio wanafanya raia wasiishi kwa amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.