Ukipangiwa ualimu kijijini unakuwa umeuwawa kifikra

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
464
1,003
Kijijini huwez kuendelea, ukiwa mwalimu kijijini utabaki kula tu mshahara basi ila huwez kufanya kitu. Walimu wa Vijijini tokeni njooni mjini anaesema kijijini kuzuri mwambie yeye ndoaje huko wewe uende dar

Nasubr wale wakusema kijijini Kuna fursa ya kilimo niwape za uso
 
ndio kuna baadhi ya vijiji ni neema unaweza ukafanya biashara ya mazao...kama Ifakara huko Morogoro.

sio kila kijiji ni kibaya...harafu wabongo tumewekeza akili nyingi kwenye ajira. kwenye hicho hicho kijiji ambacho unakiona kibaya hapo hapo kuna watu wanapiga pesa na​
 
Kuna wanaoona fursa kijijini na wanalima wanafungua baadhi ya biashara kama hakuna umeme wanakopa sola na mambo yanaenda yente wakija mjini ni ma fogo tu kama wengine ni swala la muono na mtizamo wa mtu
 
Ungejua sehemu salama kwa watumishi kama walimu ungenyamanza,,chakula bei rahisi,mashamba kwa wingi, fursa kibao kwa sababu watu wakijijini bado wamelala,,,kuna mchaga hapa bush baada ya kustaafu ualimu amedai stoki huku,,amenunu bonde la mpunga heka 100,nyumba za kupangisha 6 ngombe kibao ,,,na shamba la mpunga anakodisha kila heka laki laki, niambie kwa mwaka ana kisanga bei gani!?,,mijini mateso matupu,,usafiri shida,,kodi ya nyumba shida,chakula shida,ada ya shule kubwa,,hata ukistafu ukasema nijenge viwanja bei ghali,utashitukia hela yote umemaliza unaishia kutapa tapa
 
Kijijini huwez kuendelea, ukiwa mwalimu kijijini utabaki kula tu mshahara basi ila huwez kufanya kitu. Walimu wa Vijijini tokeni njooni mjini anaesema kijijini kuzuri mwambie yeye ndoaje huko wewe uende dar

Nasubr wale wakusema kijijini Kuna fursa ya kilimo niwape za uso
Ndio unavyo jidanganya? Hivi Umepangiwa Ulalimu Dar,utatoboa? Tuna mawazo ya kipumbavu sana kudhania Uhai uko mjini.

Vijijini life ni simple,sh 10,000/ unaweza ila siku 3,pesa ina thamani kubwa sana vijijni.

Dar hata siku sh 10,000/haitoshi.

Kijijini furusa ni nyingi za kuanzisha na mtaji mdogo sana,huko mjini frame tu ni Million bado hujasumbuana na Jiji au Mansipaa,bado watu wa taka,bado Osho,bado fire.

Kijijini hakuna cha watu wa fire wala jiji.
 
Kijijini huwez kuendelea, ukiwa mwalimu kijijini utabaki kula tu mshahara basi ila huwez kufanya kitu. Walimu wa Vijijini tokeni njooni mjini anaesema kijijini kuzuri mwambie yeye ndoaje huko wewe uende dar

Nasubr wale wakusema kijijini Kuna fursa ya kilimo niwape za uso
furusa sio kulima tu,hata Maisha ni simple sana,Ulivyo mpumbavu unadhania Life liko kwenye lami,
 
Ila kuna kaukweli. Kuna vijiji havina hata fursa.

Best yangu yeye alipangiwa kijijini. Usafiri tu wa kwenda town (mnadani) una siku zake sijui ni ijumaa tu. Umeme hamna halafu pana ukame, maji ni ya shida hayo hayo wanakunywa ng’ombe na binadamu.

Mshahara ukitoka inabidi wasubiri ijumaa waende mjini watoe wanunue mahitaji jumapili jioni warudi. Anateseka kinoma kila akiangalia fursa haioni zaidi ya duka ambalo nalo faida hamna.

Ila anasema kijijini mwalimu anaheshimika sana na wanakijiji. Yaani mwalimu ni kama mheshimiwa fulani hivi. Yeye anafurahia ile heshima anajinenepea zake hataki shida.
 
Inategemea na aina ya kijiji mfano MTU anaishi sehemu ya kijijini Kama vijiji vya Bukoba huwezi fananisha na MTU anyekaa mjini sehemu ambayo haieleweki Kama kivule
 
Ila kuna kaukweli. Kuna vijiji havina hata fursa.

Best yangu yeye alipangiwa kijijini. Usafiri tu wa kwenda town (mnadani) una siku zake sijui ni ijumaa tu. Umeme hamna halafu pana ukame, maji ni ya shida hayo hayo wanakunywa ng’ombe na binadamu.

Mshahara ukitoka inabidi wasubiri ijumaa waende mjini watoe wanunue mahitaji jumapili jioni warudi. Anateseka kinoma kila akiangalia fursa haioni zaidi ya duka ambalo nalo faida hamna.

Ila anasema kijijini mwalimu anaheshimika sana na wanakijiji. Yaani mwalimu ni kama mheshimiwa fulani hivi. Yeye anafurahia ile heshima anajinenepea zake hataki shida.
Hii inanukia Kanda ya Ziwa/usukumani.
Hasa Simiyu..., kule ni balaa.
 
kuna sehemu inaitwa mpimbwe nilienda huko nilikuta walimu wanapiga pesa kuliko mabos wao wa halmashaur

wanalima sana mipunga
mahindi
ufuta
wemgine biashara ya mbao pori
vurugu tu
wanapiga sana pesa wale na hawatak kuhama
Mpanda hii...... wengine kigoma ndan ndan huko mpakani mwa katavi na kigoma walimu wanalima sana maharage jamaaaa wamegoma kuhama ardhi asilia haitaki mbolea
 
kuna sehemu inaitwa mpimbwe nilienda huko nilikuta walimu wanapiga pesa kuliko mabos wao wa halmashaur

wanalima sana mipunga
mahindi
ufuta
wemgine biashara ya mbao pori
vurugu tu
wanapiga sana pesa wale na hawatak kuhama
Ushawachoma ndiyo basi tena lazima wahamishwe kwa sababu za roho za kimaskini za Waafrika...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom