KWAO KUZURI siyo KWETU KUZURI.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,061
10312621_10203288880136984_5885226133756485724_n.jpg
 
Ooyooo hawa ni wana wa wafalime na hapa inakuwa kuna maasi sasa wanangalia hali ya mji ni salaama au ni vipi na hicho kikosi ndio cha utii wa kifalime
 
SISI ndiyo hawa hapa chini:

tashwila-ya-kukatisha-tamaa-ya-mauaji-ya-mwandishi-wa-habari.jpg


Wao nao hawa hapa chini: UMEELEWA SASA?
IMG_3622.jpg
Binti Makamba anaishi hapa.......

images
Mchungaji Rwakatare, Mbunge wa chama cha....


Ugmbeya+072.jpg
Nyumba za Wananchi....


Aliyeelewa naomba anieleweshe plz.
 
Nilivyoelewa ukilinganisha hiyo picha ya kwanza na ya pili polisi/wanajeshi wa kwao wapo kwa ajili ya kuwalinda raia wake ili waishi vizuri, tofauti na kwetu polisi wetu ndio wanafanya raia wasiishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom