Afrika ni kuzuri zaidi kuishi kuliko Ulaya

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,668
4,378
Kuna jamaa mmoja kwenye tik tok mzungu fulani aliwahi kusema kama bado unapenda Kuishi vizuri Ulaya usitamani kwenda afrika maana ukienda na kurudi kila mwaka utakuwa unatamani saana kwenda Afrika.

Unajua kwanini Afrika ni nzuri saana ukiwa na pesa au ukiwa na kipato chochote ambacho kinakizi mahitaji yako uta enjoy maisha saana africa tofauti na Ulaya.

Afrika tuna vitu special ambavyo wenzetu hawana vijiwe vya kupiga mastori wenzetu mambo hayo hawana kabisa labda mkutane kwenye sherehe fulani au msibani ndo mnaweza kukutana kidogo mkapiga story na wenzako. Lakini Afrika mambo hayo ni kawaida.

Upweke ulaya upweke upo kabisa na upweke unatokana na Life style ambayo wenzetu wamejijengea
Lakini afrika upweke unaweza ukawepo but ni vigumu saana kukaa na mpangaji mwenzako au jarani yako mkose kuwa mnatembeleana tena bila appointement ulaya hayo mambo hayapo kabisa watu wanaishi maisha ya Sitaki shobo na mtu.

Ulaya ni kuzuri kutafuta lakini sio kuishi huku.
 
Vijiwe vya nchi za Africa Ni vya kupigana majungu mwanzo mwisho.
Bora wenzetu hawanaga hizo mambo everyone minds his/ her own business.
 
Kuna jamaa mmoja kwenye tik tok mzungu fulani aliwahi kusema kama bado unapenda Kuishi vizuri ulaya usitamani kwenda afrika maana ukienda na kurudi kila mwaka utakuwa unatamani saana kwenda afrika

Unajua kwanini africa ni nzuri saana ukiwa na pesa au ukiwa na kipato chochote ambacho kinakizi mahitaji yako uta enjoy maisha saana africa tofauti na ulaya
afrika tuna vitu special ambavyo wenzetu hawana
Vijiwa vya kupiga mastori wenzetu mambo hayo hawana kabisa labda mkutane kwenye sherehe fulani au msibani ndo mnaweza kukutana kidogo mkapiga story na wenzako
Lakini afrika mambo hayo ni kawaida

Upweke ulaya upweke upo kabisa na upweke unatakana na Life style ambayo wenzetu wamejijengea
Lakini afrika upweke unaweza ukawepo but ni vigumu saana kukaa na mpangaji mwenzako au jarani yako mkose kuwa mnatembeleana tena bila appointement ulaya hayo mambo hayapo kabisa watu wanaishi maisha ya Sitaki shobo na mtu
Ulaya ni kuzuri kutafuta lakini sio kuishi uku
Wanaoona thamani ya Africa ni wachache, wasioiona ndiyo hao wanaigawa kwa wageni bila kutazama miaka 500+ mbele
 
Huyo alisema ni kwa sababu tayari ana nafasi ya kwenda Afrika na kurudi kwao.

Hebu na sisi twende huko kwao then tuanzishe thread kama likewise utasikia 'ulaya pazuri sana, kwanza sheria zao, hakuna kufuatana fuatana kama huku, nk.

So huyo jamaa yako kaongelea upande wake tu, sasa tuje upande wa pili wa mwenye Afrika yake 😄!.
 
Huyo alisema ni kwa sababu tayari ana nafasi ya kwenda Afrika na kurudi kwao.

Hebu na sisi twende huko kwao then tuanzishe thread kama likewise utasikia 'ulaya pazuri sana, kwanza sheria zao, hakuna kufuatana fuatana kama huku, nk.

So huyo jamaa yako kaongelea upande wake tu, sasa tuje upande wa pili wa mwenye Afrika yake !.

Mimi nipo ulaya and ni Nakuambia ukweli kama utabisha wewe fanya tafiti tu utapata ukweli wote
 
Kuna jamaa mmoja kwenye tik tok mzungu fulani aliwahi kusema kama bado unapenda Kuishi vizuri Ulaya usitamani kwenda afrika maana ukienda na kurudi kila mwaka utakuwa unatamani saana kwenda Afrika.

Unajua kwanini Afrika ni nzuri saana ukiwa na pesa au ukiwa na kipato chochote ambacho kinakizi mahitaji yako uta enjoy maisha saana africa tofauti na Ulaya.

Afrika tuna vitu special ambavyo wenzetu hawana vijiwe vya kupiga mastori wenzetu mambo hayo hawana kabisa labda mkutane kwenye sherehe fulani au msibani ndo mnaweza kukutana kidogo mkapiga story na wenzako. Lakini Afrika mambo hayo ni kawaida.

Upweke ulaya upweke upo kabisa na upweke unatakana na Life style ambayo wenzetu wamejijengea
Lakini afrika upweke unaweza ukawepo but ni vigumu saana kukaa na mpangaji mwenzako au jarani yako mkose kuwa mnatembeleana tena bila appointement ulaya hayo mambo hayapo kabisa watu wanaishi maisha ya Sitaki shobo na mtu.

Ulaya ni kuzuri kutafuta lakini sio kuishi huku.
Ila hongera mkuu kwa kuvuka border mpk huko
 
Kuna jamaa mmoja kwenye tik tok mzungu fulani aliwahi kusema kama bado unapenda Kuishi vizuri Ulaya usitamani kwenda afrika maana ukienda na kurudi kila mwaka utakuwa unatamani saana kwenda Afrika.

Unajua kwanini Afrika ni nzuri saana ukiwa na pesa au ukiwa na kipato chochote ambacho kinakizi mahitaji yako uta enjoy maisha saana africa tofauti na Ulaya.
Aaache uongo.....Ulaya kuna mamilioni ya Raia kato ya Hao ni asilimia ndogo tu wanaokuja Africa kutalii.....sababu sio hawataki bali bajeti haitoshi kufanya hivyo.

Yaani Mtu ni Kachero wa British Governmemt analipwa mipesa kibao anaandaa bajeti ya mamilioni kuja kula Bata Africa ulitegemea aseme Africa ni Mbaya?

Sehemu yoyote ni nzuri kama una mafumba mfukoni.
 
Waafrika Tatizo yetu ni ubishi fanya taifa kwenye mitandao utapata majibu maana mimi nikikuambia utanibishia
 
Kuna jamaa mmoja kwenye tik tok mzungu fulani aliwahi kusema kama bado unapenda Kuishi vizuri Ulaya usitamani kwenda afrika maana ukienda na kurudi kila mwaka utakuwa unatamani saana kwenda Afrika.

Unajua kwanini Afrika ni nzuri saana ukiwa na pesa au ukiwa na kipato chochote ambacho kinakizi mahitaji yako uta enjoy maisha saana africa tofauti na Ulaya.

Afrika tuna vitu special ambavyo wenzetu hawana vijiwe vya kupiga mastori wenzetu mambo hayo hawana kabisa labda mkutane kwenye sherehe fulani au msibani ndo mnaweza kukutana kidogo mkapiga story na wenzako. Lakini Afrika mambo hayo ni kawaida.

Upweke ulaya upweke upo kabisa na upweke unatokana na Life style ambayo wenzetu wamejijengea
Lakini afrika upweke unaweza ukawepo but ni vigumu saana kukaa na mpangaji mwenzako au jarani yako mkose kuwa mnatembeleana tena bila appointement ulaya hayo mambo hayapo kabisa watu wanaishi maisha ya Sitaki shobo na mtu.

Ulaya ni kuzuri kutafuta lakini sio kuishi huku.
Ni kuzuri kuishi Kupitia sehemu yeyote Ile hapa Duniani, specifically Tanzania.
 
Ushi pole kwa msongo wa mawazo.
Nilitaka kuandika in deeper jinsi vijana tulivyo ishi miaka mingi ughaibuni, na nini kikitokea baada ya kukam baki homie....😊
Then nikaona bora niunge mkono tu hoja..🤗
 
Sasa ni kwanini Vijana wa Kiafrika wamekuwa ni chakula cha Samaki wa Mediterania?

Afrika kuna dhiki isioisha mimi nimezaliwa naiona ha hakuna Hope

Wenzetu Asia wameshatoka kwenye Dhiki ya aina hii mfano Korea Kusini Malaysia Singapore Indonesia China nk.

Dhiki ya Afrika haina matumaini ya kwisha.
 
Waafrika Tatizo yetu ni ubishi fanya taifa kwenye mitandao utapata majibu maana mimi nikikuambia utanibishia
Utafiti gani umefanya zaidi ya kusikiliza tu kwa wazungu wako walichosema?

Africa tumezaliwa hapa na tumekulia hapa huyo mzungu wako atatwambia nini?
 
Back
Top Bottom