Mmmhu we bhujibhuji hayo inayosema yanaweza kuwa sahihi, wasiwasi wangu ni hii kizazi ya div5 kama itaweza kuedit ushauri huo au kitauchukulia kama ulivyo na madada zetu wakaishia kumegwa na kuzalishwa tuuuu bila kuolewa.FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.
Nimemtuma tena mchumba wangu akaongee nao isipoeleweka basi najivua gamba narudi kwetu sirari kutafuta wa nyumbani.
Utakuwa Mrenchoka au Mkira....
Mie wa kwa Carlos!!!
naunga unga ivyo ivyo
Na nyie wakurya mmezidi bana badilikeni mkubalike
Hata kwenye maBar mnasumbua na fujo za kijinga
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.
Hawa kina kamwene wa ajabu sana. Sisi wachaga tunawaolea sana dada dada zao ila kaka zao awaowi kabisa dada zetu.
sio wote mkuu mimi niko tofauti ndo maana mhehe kanipenda.