Achana naye, mbona Nyantira, Kemakorere, Sirari, Borega, Nyasincha, Nyamongo, Nyamwaga kuna warembo???
Dah.... Ukabila ni dhambi mbaya sana!!
Hilo kabila ni tatizo ndugu, nakushauri ubadili
Achana naye, mbona Nyantira, Kemakorere, Sirari, Borega, Nyasincha, Nyamongo, Nyamwaga kuna warembo???
Dah.... Ukabila ni dhambi mbaya sana!!
Achana naye, mbona Nyantira, Kemakorere, Sirari, Borega, Nyasincha, Nyamongo, Nyamwaga kuna warembo???
Dah.... Ukabila ni dhambi mbaya sana!!
Molembe nakuhakikishia kuwa wewe hujawa tayari kumuoa huyo binti wa Kinyalu, kama ungekuwa unamhitaji kwa udi na uvumba wala usingekuja hapa kuomba ushauri, akili yako mwenyewe ingeshafanya kazi na kujua nini cha kufanya.Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.
Uniwe tonhanchelehe mshabhani?umini-impress sana kwa kuyatamka kwa ufasaha maeneo haya!! nkohanchele mwiseke!
Uniwe tonhanchelehe mshabhani?
Oranyore ona ishing'ombe, nuwe nkeghanya ushe ontete, nkerenge mwiseke.hahahaaaa!! iam caught today!! kanambe nke ndakobhore mokungu!! tamaha uni hano nde!
kana hai olenge mosubhati weito!!
watetwa?
Oranyore ona ishing'ombe, nuwe nkeghanya ushe ontete, nkerenge mwiseke.