Kwanza Monduli baadaye Ikulu....

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,507
11,252
..... ni mchezaji wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani Dwight Howard. Alianzia ziara yake mjini Monduli kwa Mbunge Lowasa kabla ya kuelekea Ikulu kumsalimia Rais wa nchi J.K.

Hivi wakuu hii imekaa sawa ki-protokali?

Naomba kueleweshwa..

Picha na Habari kwa hisani ya Mjengwa Blog.
 
Kumsalimia JK, imekuja baadaye; haikuwa kwenye plans zake! Inaonekana hiyo imepangwa baada ya kufika huko Monduli kwanza.
 
unaweza kukuta vasco da gama kajipendekeza akasalimiwe mjengoni... haiingii kichwani kabisa,dwight howard kwenda ikulu baada ya kutoka monduli! alikuja kwa madhumuni gani,90m tu? henry the navigator kajipendekeza bhana aaaaargh,hadi inaboa yani...
 
Back
Top Bottom