Kwanini......

Kwanini......

Haya ndio majibu ya mjenzi wa hoja zinazokubalika na kupendwa?

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app

Kijana nimeshaacha kuwazibua Watu wa aina yako muda mrefu mno na sasa nimeokoka hivyo nakusihi tu tembelea sana pande za Tanga kule Raskazoni au nenda Bagamoyo na ukiona huko kote hakukutoshi " kuzibuka " funga safari Mombasa au Lamu na kama huko nako utaona wanakuzingua safiri tu pande za Italia na Ugiriki haja yako itamalizwa yote. Unless labda kuna kingine unakitafuta kutoka kwangu na ambacho vile vile usipoangalia utakipata tu muda si punde!
 
Hebu fafanua huo msemo kwanza ...

Ingia kwa ile ID yako tuliyoizoea na inayojulikana humu JF na hapo ndipo nitakujibu utakavyo. Halafu acheni kutumia multiple ID's humu kwani ni dalili kuwa hamjiamini na hampo imara. Lini umeona Mimi naingia na ID nyingine humu JF zaidi ya hii?
 
Hehehehheee umenipa homework moja tamu sana ntakayoifanya week end hii.
Ntakuwa na sun glasses zangu ndani ya kioo cha kila wani navalisha magnificent lens na ntakuwa nakodolea kila njemba ntakayokutana nayo nione inapwela pwela kama kengele ya kanisani au imetulizwa ndani ya san-lg aka boxer........ hehehehhe raha sana kuyafanyia uchunguzi maungo ya kiumeni.

Kasie.
 
Ingia kwa ile ID yako tuliyoizoea na inayojulikana humu JF na hapo ndipo nitakujibu utakavyo. Halafu acheni kutumia multiple ID's humu kwani ni dalili kuwa hamjiamini na hampo imara. Lini umeona Mimi naingia na ID nyingine humu JF zaidi ya hii?
Hebu acha kuzuga,,,, fafanua kwanza huo msemo
 
kwasababu ule uume unakuwa unasuguana na mapaja kila utembeapo hivyo ni rahisi kupata hisia na hatimaye kusimamatofauti na walio vaa chupi au boksa, ni hayo tu mkuu kwa nionavyo mimi
 
Kijana nimeshaacha kuwazibua Watu wa aina yako muda mrefu mno na sasa nimeokoka hivyo nakusihi tu tembelea sana pande za Tanga kule Raskazoni au nenda Bagamoyo na ukiona huko kote hakukutoshi " kuzibuka " funga safari Mombasa au Lamu na kama huko nako utaona wanakuzingua safiri tu pande za Italia na Ugiriki haja yako itamalizwa yote. Unless labda kuna kingine unakitafuta kutoka kwangu na ambacho vile vile usipoangalia utakipata tu muda si punde!
Hivi kwanini ukiulizwa A unajibu B?

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Usipovaa chupi au boksa hata kama umevaa suruali au pensi au bukta kwa kawaida uume unakuwa umekasirika na una simama sana na hulala tu baada ya juhudi kubwa na kuhangaika nao mno?

Kuna siri gani kubwa ya kitaalam na kibaiolojia iliyojificha hapa?

Nitashukuru wajuvi, wataalam na wamiliki wa hii " minara " yetu " myeusi " mkijitokeza kulijibu hili ili nasi wengine tupate kuelimika.

hahahahaha eti minara myeusi hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom